Hiyo ni mwaka, miezi au non-stop hujaweka sawa hapo mkuu. Nataka kumshawishi Boss hapa anaweza akakuchukulia.
Hujaeleweka mkuuKwa mikataba ya KUACHIANA BODA BODA ninafanya 70 kila week kwa mwaka, then chombo inakuwa yangu. Ila pia hii ya 50 ni mwaka pia.inafuatana na mhusika anataka vipi
Hujaeleweka mkuu
Hatimaye umeeleweka.Yaani kuna mkataba wa aina mbili.
1.Ukitaka 70 per week, basi ndani ya mwaka mkataba ukiisha Boda inakuwa Yangu..
2.ukitaka 50 per week, mkataba pia ni Mwaka, ila hapa boda haitakuwa yangu itaendelea kuwa yako, nitaamua kuendelea na mkataba au La.
Nasikia eti MAJAMBAZI wanazipenda sana hizo pikipiki za aina hiyo kwa kuwa zinakimbia sana, hata akipiga sehemu anauwezo kwa kukimbia kwa kasi sana!!!
Hailipi hata 70 kwa wiki maana boxer mpya saa hivi inafika 2,800,000 bado hujalipia bima,sumatra na maegesho.pikipiki mpk iingie barabarani inaweza kufika milion 3 halaf mwaka mzima mtu anakupa 3.8 si biashara kichaa
aiseeUmeacha kuwarekodia wasanii midundo na ww kuimba
Uko mkoa gani boxer inauzwa 2800,000/=?
Kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza je unaufahamuje huu msemo
Kwa hyo kwa siku unataka ulete elfu 6500... kwa wiki uniletee 46500 ...ngoja wajuzi wa haya watukokotelee kama inalipa bei hyo