Nakuletea laki2 per Month Kama una pikipiki boxer or Tvs

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Habari.
hakika Mapambano yanaendelea.
Kama upo mbeya au sehem yoyote ya jirani na una Pikipiki(boxer au Tvs) au una wazo la kuwekeza katika usafiri huu. Basi tunaweza kubaliana deal.tukakabidhiana chombo kwa income ya laki mbili kila mwezi, huku maswala mengine ya service na utunzaji yakiwa juu yangu..we niku RELAX huku ukisubiri notification ya Muamala kila Mwezi.

NB: wacha kulaza pesa BANK, wekeza sasa kwa Manufaa.
 
Hiyo ni mwaka, miezi au non-stop hujaweka sawa hapo mkuu. Nataka kumshawishi Boss hapa anaweza akakuchukulia.
 
Kwa mikataba ya KUACHIANA BODA BODA ninafanya 70 kila week kwa mwaka, then chombo inakuwa yangu. Ila pia hii ya 50 ni mwaka pia.inafuatana na mhusika anataka vipi

Hujaeleweka mkuu
 
Nasikia eti MAJAMBAZI wanazipenda sana hizo pikipiki za aina hiyo kwa kuwa zinakimbia sana, hata akipiga sehemu anauwezo kwa kukimbia kwa kasi sana!!!
 
Kuhusu ujambazi siwezi thibitisha boss nadhani story za vijiweni tu, japo kweli chombo zinakimbia. Na zinamuonekano mzuri, hivyo kuwa kivutio kwa Abiria KIBIASHARA.
Nasikia eti MAJAMBAZI wanazipenda sana hizo pikipiki za aina hiyo kwa kuwa zinakimbia sana, hata akipiga sehemu anauwezo kwa kukimbia kwa kasi sana!!!
 
Kwa hyo kwa siku unataka ulete elfu 6500... kwa wiki uniletee 46500 ...ngoja wajuzi wa haya watukokotelee kama inalipa bei hyo
 
Hailipi hata 70 kwa wiki maana boxer mpya saa hivi inafika 2,800,000 bado hujalipia bima,sumatra na maegesho.pikipiki mpk iingie barabarani inaweza kufika milion 3 halaf mwaka mzima mtu anakupa 3.8 si biashara kichaa
 
Uko mkoa gani boxer inauzwa 2800,000/=?

Back
Top Bottom