Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe



2) Hakimu na baraza la wazee katika kushauriana ilitakiwa washauriane huku mezani kuna vielelezo. Mleta uzi anasema vielelezo havikuwepo, kama ni kweli havikuwepo hii inamaanisha hakimu ametoa hukumu ila hajacover angle ya 'beyond reasonable doubts'
 
Ni habari ya kusikitisha. Lakini habari hii ingeleta hisia kali zaidi kama ungegusia na maelezo japo kwa uchache toka upande wa pili, yaani dada na mama mkubwa. Yawezekana wangekupa maelezo yasiyo sahihi kwa asilimia mia ili kulinda upande wao, lakini kwa saikolojia yako ungebaini kama kijana alifanyiwa njama, alionewa, au la.

Dada mtu ndiye aliyempeleka kijana polisi, wakati mama aliyemleta kijana mjini akiwa safarini, kijana amekaa mahabusu mwezi mmoja, katika kipindi hiki cha mwezi mzima, huyu mama lazima alikuwa amerudi toka safarini. Je, huyu mama alipofika nyumbani na kukuta kijana yuko mahabusu hakuchukua hatua juu ya suala hili zito? Na ikumbukwe yeye ndiye aliyemleta kijana kwake na hivyo alikuwa chini ya himaya yake, hivyo usalama, afya, na malezi kwa ujumla, ni juu ya huyu mama. Haya ndio ulitakiwa uambatanishe na hayo uliyotuandakia ili na sisi tupate vionjo halisi vya jambo lenyewe.
 
dunia imekaa segemnege sana,kiasi kwamba inakuwa ngumu kukubali moja kwa moja kijana IVO kaonewa.

miaka 19 inatosha kabisa yeye kufanya akichoshitakiwa nacho.

walalamikaji hawaonyeshi kuwa na nia mbaya na mtuhumiwa tokea wameamua kuishi naye.

pia haiingii akilini kwamba pesa imetembea kupindisha kesi,maana kwa maelezo ya mleta mada familia yenye mhanga wana maisha ya chini tu.

kesi za ubakaji na mauaji,ni kesi mbaya tena za kutisha ambazo ni ngumu pia,kiasi cha polisi wanaopewa wazipeleleze kuwa makini sana,tamaa ya pesa mara nyingi hukaa kando hapo.
 
asante ndugu Mungu akubariki
 
pia haiingii akilini kwamba pesa imetembea kupindisha kesi,maana kwa maelezo ya mleta mada familia yenye mhanga wana maisha ya chini tu.
Sisi hatujasema kuwa kuna pesa yoyte imetembea, tumeomba tu msaada wa kusaidiwa rufaa ya kijana wetu. Na tumeweka na angalizo kuwa hii jambo lisihusishwe na familia, tumeeleza tu tukio
 
Mpelelezi wa kesi hii, wakati anampeleka Mahakamani alimrubuni kijana huyu kuwa, kesi hii ilikua ni nyepesi tu kwahio alichotakiwa kufanya ni KUKUBALI kosa na Mheshimiwa Hakimu angemuachia huru.๐Ÿ‘ˆ๐Ÿผ sina cha kuchangia, alichokifanya huyo dogo ni upumbavu haswaa.
 
shukrani
 
Sisi hatujasema kuwa kuna pesa yoyte imetembea, tumeomba tu msaada wa kusaidiwa rufaa ya kijana wetu. Na tumeweka na angalizo kuwa hii jambo lisihusishwe na familia, tumeeleza tu tukio
Inavyoonekana ni kama unataka dogo ahurumiwe.
Lakini kwa maelezo yako inaonyesha dhahiri huyo kijana IVO alikuwa anamlawiti huyo mlawitiwa sema tu katika kuelezea umejaribu kunyoosha baadhi ya mambo ili simulizi yako ikae vizuri
ILA yote kwa yote RUFAA ipo mkuu
 
Mkuu umechanganya. Mtoa mada si mimi.
 
Hatujapata msaada bado! Tunaomba msaada ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ