Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mimi nimoja Kati ya wafanyakazi waliowai kufanya kazi Nakumatt Moshi.
Mwenye swali Lolote lile kuisiana na Nakumatt nitakuwa tayari kuyajibu!!??
Mkuu yani ndo umeifokonyoa hii post chini ya mvungu..Dahhh....
Vipi Arusha wameshafungua maana mi nilikuws najua Nakumatt ipo Moshi tuu na Nairobi...? So kama ipo, ipi sehemu gani na nilini ilifunguliwa..