Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia Ray c alikuwa bado mweusi!!
Ule wa wizi?hata ule wa Nyota Yako,ulikua mzuri nao..
Na Jana amepewa kipigo cha mbwa koko, hakika maisha yapo resi sana
Yaani jamaa kamfua kama hamjui vile
Niliupenda sana huu wimbo.hata ule wa Nyota Yako,ulikua mzuri nao..
DAB Alikuwa Koromije bado
Hivi huyu anakunywa Pombe?mbona naona kama ana kidot cheusi kwenye paji la uso wake...?
Nambieochumelaaaaa
😅😅..poleNambie
Nilichumela wapiulichumela
😅😅..pole
😅😅.huenda maana ya jina lako nimelirate na ishu zingine anywysNilichumela wapi