Nakumbukaga vijana walivyoumia baada ya kujua kuwa shujaa wao mastermind michael scofield ni shoga😂

Nakumbukaga vijana walivyoumia baada ya kujua kuwa shujaa wao mastermind michael scofield ni shoga😂

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Nafikiri hakunaga TV show ya kizungu illioifikia umaarufu kama wa prison break hadi sasa.

Watu walimkubali sana scofield, jinsi gani alivyotumia akili yake zaidi ya nguvu katika kujinusuru yeye na wenzake .

Baada ya muda kidogo mwaka 2013 tukaja tukasikia jamaa amejitangaza kuwa ni gay, aisee vijana wa bongo walikasirika sana kuwa mastermind wao pendwa ana dengua kwa wanaume wenzake😂.

Jamaa ilivyofika 2020 akasema tena hakubali kazi yoyote itakayo muonesha yeye kama kidume ila anataka kazi zitakazo muonesha yeye kama shoga.
 
Mambo mengine ni maagano. Wapo wengi tu mashuhuri na vioo vya jamii Ila mambo ipo huku 😂
hizi huwa ni porojo tu za wasabato na walokole.

Ndo maana wanasema "If you do not have enough money to afford your temptations or fantansies then do not talk about morals"

Mfano mzuri ni Mfalme Suleiman, baada ya kuwa tajiri kupitiliza akaanza zinaa kupitiliza sabb muda huo aliweza kuafford hayo.

Wengi tu wakiwa wanajitafuta wanazuia tamaa au makandokando yao lkn wakishapata hela na kuweza kumudu basi wanajiachia. Mwingine anatamani kufira/rwa ila anakua hana pesa ya kutosha kufanya hivyo na kutunza siri, sasa akiipata na akaanza kufanya hivo na bahati mbaya siri zikavuja hapo walokole na wasabato wanasema eti ni maagano, kumbe mtu kazaliwa anatamani hayo ila hakuweza kuyamudu juu ya uwezo mdg wa kifedha
 
Hakuna mtu anazaliwa awe na tamaa ya kufanya kitu ambacho hata mnyama na akili zake chafu zote hawezi kufanya.

Ushetani Ukisha-take over ulimwengu mambo ya namna hiyo sio mageni kusikika. Eti mwanaume akatamani au azaliwe ana hamu ya kuchezewa utope?! 😳😳😳

Sijawahi ona 😂🙌🏾
 
Michael Schoffield sio shoga, aliyeigiza nafasi yake, Wentworth Miller, ndo shoga.

Michael ni muhusika wa kutungwa tu, hana tabia za Wentworth.

Mara nyingi tunapenda uhusika flani uliochezwa na muigizaji flani, lakini tunakosea kuchukulia mhusika na muigizaji kuwa kitu kimoja.

Na isitoshe, ushoga wa muigizaji haukuhusu, ni mambo yake binafsi.
 
Hakuna mtu anazaliwa awe na tamaa ya kufanya kitu ambacho hata mnyama na akili zake chafu zote hawezi kufanya.

Ushetani Ukisha-take over ulimwengu mambo ya namna hiyo sio mageni kusikika. Eti mwanaume akatamani au azaliwe ana hamu ya kuchezewa utope?! 😳😳😳

Sijawahi ona 😂🙌🏾
Kutamani ni kutamani tu bila kujali unatamani nini, sasa kama mtu amezaliwa anatamani siku moja awe rubani, kwa nini huyo mwingine asitamani kuja kukazwa?

This is a deep pyschological issue, sisemi kwamba naunga mkono hayo mambo, point yangu mimi ni kukataa kwamba sio kila anaefanya hayo mambo basi ana maagano na shetani kisa tu ni tajiri au maarufu kama alivosema huyo nlimquote mwanzo hapo
 
Back
Top Bottom