Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 234
Wakuu na wataalamu nisaidieni hapo; je, kuna faida gani na hasara zipi za kunywa kiasi hicho cha maji kwa siku.? Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu na wataalamu nisaidieni hapo; je, kuna faida gani na hasara zipi za kunywa kiasi hicho cha maji kwa siku.? Nawasilisha.
Eti yakizidi ni tatizo as kuna aina ya madini inatumika kwa wingi na kuleta madhara mwilini. MziziMkavu naomba ushauri.
Yako Madini yanayoleta madhara kwa binadamu kwa mfano madini ya Zebaki, uranium na mengine mengi tu.Eti yakizidi ni tatizo as kuna aina ya madini inatumika kwa wingi na kuleta madhara mwilini. MziziMkavu naomba ushauri.
Asante kwa kutuelimisha. Merry xmas too!Watu walisoma sayansi, biology lakini haiwasaidii. Unakumbuka kitu kinaitwa osmosis. Sasa ukinywa maji mengi kitu kama hiki kinatokea as result utapata cell swelling because of over hydration. Na matokeo yake ni kuwa utapata headache, heart failure, renal failure etc. In normal situation human being anatakiwa kunywa maji 3L per day. Kwa mtu alikuwa debilitated yaani yupo serious hajitambui tunampa iv fluid 3L lakini kwa wewe mzima maji mengi unapata vitu vingi kwa mfano, kwenye ugali, mboga matunda, michuzi, juice, pombe, soda na maji yenyewe. Sasa kwa siku kwa mtu wa kawaida unatakiwa kunywa maji tupu si chini ya 1.5L, ikifika lita mbili siyo mbaya. Kikubwa kwamba ukinywa maji mengi sana unapata brain oedema na matokeo yake utapata kichwa kuuma na wakati mwingine degedege.
Kunywa maji fuata utaratibu huu.
Asubuhi ukiamka kunywa glass moja, kabla ya kuoga kunywa glass moja, kabla ya kula msosi wowote kunywa glass1, kabla ya kulala kunywa glass 1. Ukinywa hivi its enough sana. Merry Christmas and Happy new year. Karibu Songea kwa matibabu safi.
Kwa Mtu Mzima au Mgonjwa wa Maradhi yoyote inatakikana awe anakunywa maji Uvuguvugu unapo amka Asubuhi kabla yaMziziMkavu kaeleza faida tu hajasema kiasi stahili kutumika. Ngoja tumsubiri tena.
Kwa Mtu Mzima au Mgonjwa wa Maradhi yoyote inatakikana awe anakunywa maji Uvuguvugu unapo amka Asubuhi kabla ya
kupiga mswaki unywe Glasi 2 za Maji ya Uvuguvugu na baada ya kupiga Mswaki Unywe glasi 1 na kabla ya kunywa chai unywe
Glasi moja ya maji Uvuguvugu kila siku ufanye hivyo kwa wakati wa asubuhi.
Na Wakati wa mchana Dakika 30 au dakika 45 kabla ya kula chakula cha mchana unywe maji ya Uvuguvugu Glasi 1.
Na Wakati wa chakula cha Usiku unatakiwa unywe Maji ya Uvuguvugu Glasi 2 kabla ya kula chakula cha usiku.
na unywe Maji Ya Uvuguvugu Glasi 1 kabla ya kwenda kulala usiku.
Wakuu na wataalamu nisaidieni hapo; je, kuna faida gani na hasara zipi za kunywa kiasi hicho cha maji kwa siku.? Nawasilisha.
Inategemea na uzito ulionao, je wewe uzito wako ni kg ngapi?
Tunasubiri Jibu Fadhili Paulo
Wakuu na wataalamu nisaidieni hapo; je, kuna faida gani na hasara zipi za kunywa kiasi hicho cha maji kwa siku.? Nawasilisha.
.Madhara yake ni kwamba utakuwa huwezi kuugua kirahisi au utakjuwa hauugui kabisa na pia chances kwamba utaishi miaka 100+ ni kubwa. Mimi siyo daktari lakini naweza kukuhakikishia kuwa hayo ndiyo madhara ya kunywa maji mengi.
Nina sixty kg mkuu ninywe kiasi gani kwa uzito huo.?