kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 Feb 2, 2013 #1 Nafanya kazi ngumu aka kuli, pia natembea na wanawake wazee. Naombeni ushauri jamani, nimekuwa mtumwa sasa.
Nafanya kazi ngumu aka kuli, pia natembea na wanawake wazee. Naombeni ushauri jamani, nimekuwa mtumwa sasa.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Feb 2, 2013 #2 Sasa hii ni joke mkuu wangu?
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,313 Reaction score 6,636 Feb 2, 2013 #3 ulitaka ukimbie nao hao wanawake wazee?