GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake tukashirikiana na kusaidiana, sina haja ya kuringa sababu mimi Waziri na yeye sio waziri.
Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu" Mhe. Dkt Dorothy Gwajima ni waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Chanzo: JamiiForums
Kila nikirudia kusoma hiki alichokiandika hapa kuna mambo kama Matatu Matano hivi ninayaona. Mumewe aringe tu!!!