Nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha tumia D mbili kama ulisoma Cuba au Israeli kama Mimi kisha sema hapa Waziri Gwajima kamaanisha nini hasa?

Nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha tumia D mbili kama ulisoma Cuba au Israeli kama Mimi kisha sema hapa Waziri Gwajima kamaanisha nini hasa?

anavaa kitenge bila chupi . ...safisana mana wengine sio kitenge ila kipande Cha jeans Cha karume
 
Ahsante Sana ndugu, karibu Sana, sms tu kuja 0765345777 tutumie fursa ya kidigitali kusukuma maendeleo na ustawi. Muda mchache sana ✍🏻
Hongera sana mheshimiwa. Nimefurahi uko simple sana hujikuzi natamani viongozi wetu wote wangekuwa kama wewe hakika tungeifaidi sana hii nchi yenye maziwa na asali. Tatizo wengine wakichaguliwa wanavimba vichwa na kujiona si wa dunia hii kumbe sote ni wa Mungu tunatofautiana tu kimajukumu.
Hongera sana madam minister!!
 
Ahsante Sana ndugu, karibu Sana, sms tu kuja 0765345777 tutumie fursa ya kidigitali kusukuma maendeleo na ustawi. Muda mchache sana ✍🏻
Hongera sana mheshimiwa,na nashukuru sana kwa nasaha zako ulizonipa kipindi niko ktk mgogoro na mke wangu,ila nakuomba ufuatilie kwny mahakama zinazohusiana na migogoro ya kifamilia wanaume tunaonewa sana,unakuta watumishi wote wa mahakama hizo ni wanawake wanabebana sana sana,wanatuvunja moyo wanaume tunaopambania familia zetu,pia wana kauli mbaya sana ndizo zinazopelekea tunaamua kuwauwa wenzi wetu,mm ustawi wa jamii manispaa ya ilala huyu mama anaitwa magdalena msaki ananipigia simu ananitishia kuwa 'nitaijua nguvu ya wanawake'kwny suala linalohusu hekima ili kutatua changamoto ya kifamilia,ukija mahakama temeke unakutana na orupa mtae wanaangalia jinsia zaidi kuliko haki.
 
Back
Top Bottom