Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kimsingi siku hizi umekuwa mkomavu na kiongozi shujaa. Shukrani za dhati ziende kwa Shemeji yako na Baba wetu wa Kiroho Ustadh Gwajima au ukioenda muite Shehe Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa ๐๐๐๐ kwani alikutuliza. Hongera umebadilika na kuwa mama Vicky hasa. Sisi watoto wa Shehe Rashid tunajivunia sasa uwepo wako kama mama na kiongozi wetu. ๐๐๐๐Nimeshafika nawaona tu hivi ๐ณ๐ณ๐ณ, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Ngoja nisearch ile vita ya Gwajima's youtube nijikumbushie Shehe Rashid alivyokuwa anatema fitina kwenye ukoo.