Nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha tumia D mbili kama ulisoma Cuba au Israeli kama Mimi kisha sema hapa Waziri Gwajima kamaanisha nini hasa?

Nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha tumia D mbili kama ulisoma Cuba au Israeli kama Mimi kisha sema hapa Waziri Gwajima kamaanisha nini hasa?

Nimeshafika nawaona tu hivi ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Kimsingi siku hizi umekuwa mkomavu na kiongozi shujaa. Shukrani za dhati ziende kwa Shemeji yako na Baba wetu wa Kiroho Ustadh Gwajima au ukioenda muite Shehe Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kwani alikutuliza. Hongera umebadilika na kuwa mama Vicky hasa. Sisi watoto wa Shehe Rashid tunajivunia sasa uwepo wako kama mama na kiongozi wetu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ngoja nisearch ile vita ya Gwajima's youtube nijikumbushie Shehe Rashid alivyokuwa anatema fitina kwenye ukoo.
 
Haya yamekuja baada ya kupigwa spana na Ustadhi Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa na Baba mkwe wake kuingilia.

Mama Vick akarudisha panga harani mwake ili kulinda ndoa, heshima na jina lake kwani alikatazwa hata kuitwa Gwajima. Sasa kawa mama Vick na Mrs. Gwajima kweli kweli. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Chezea Shehe Rashid mzee wa fitina a.k.a Mkono wa Baunsa.
Wewe unapenda jina lipi kati ya Fariji na Faraja๐Ÿ˜
 
Kimsingi siku hizi umekuwa mkomavu na kiongozi shujaa. Shukrani za dhati ziende kwa Shemeji yako na Baba wetu wa Kiroho Ustadh Gwajima au ukioenda muite Shehe Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kwani alikutuliza. Hongera umebadilika na kuwa mama Vicky hasa. Sisi watoto wa Shehe Rashid tunajivunia sasa uwepo wako kama mama na kiongozi wetu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ngoja nisearch ile vita ya Gwajima's youtube nijikumbushie Shehe Rashid alivyokuwa anatema fitina kwenye ukoo.
Unaweza kuchagua tu jina unalopenda kati ya Fariji na Faraja tafadhali
 
Mkuu kongole ukifika geneva pambania solve ile case ya benezeth vs mimutie women organization tunategemea busara zako.

N.B:Nisalimie Vicky
Sheria ya msajili wa NGO na kanuni zake ndiyo zita solve. Bila shaka naye anajua kuwa, anaweza kukata rufaa tu kwa mujibu wa sheria hiyo na kanuni zake. Vizuri Sana mambo kufanyiwa kazi yakiwa kwenye maandiko rasmi kwa mujibu wa Sheria husika.
 
Ni simpo tu, anampenda mume wake, mume wake naye anampenda, wanapendana na wanajenga ndoa imara pamoja na usomi wao. Mwanamke mwingine akiishakuwa msomi na kupata madaraka makubwa huiona ndoa yake kama kimba na kumzarau mume wake aliyemzidi kipato na wasifu. Anaishi maisha ya ndoa kwa matendo na maneno
 
Halafu madaraka yakipita unaenda kuishi na nani, na kwa nini huku duniani ujichoshe hivyo, unasaka nini hasa jamani? Yaani mtu unakuwa unataka ku prove nini hasa kwenye huu muda mfupi wa maisha
 
Ni watu tu wanapenda kujichosha. Matatizo mengine tunajitafutie wenyewe
Hakika, na mbaya zaidi katika kukoleza hayo matatizo, tulio wengi tukiona mtu fulani hajichoshi na mambo mengi, tunaanza tena kumjadili kwa mitazamo hasi hasi na kutaka kumchosha na yeye huku sisi wenyewe tumeshajichosha. Inakuwa sasa heri mwenye hekima ya kujisimamia ndiyo ataepuka kujichosha na kuchoshwa na walimwengu..... ๐Ÿ˜…
 
Hakika, na mbaya zaidi katika kukoleza hayo matatizo, tulio wengi tukiona mtu fulani hajichoshi na mambo mengi, tunaanza tena kumjadili kwa mitazamo hasi hasi na kutaka kumchosha na yeye huku sisi wenyewe tumeshajichosha. Inakuwa sasa heri mwenye hekima ya kujisimamia ndiyo ataepuka kujichosha na kuchoshwa na walimwengu..... [emoji28]
Mama Vicky una maneno kuntuu weyeee, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom