GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Fundi kasema akimaliza kukuletea hilo Dishi angependa pia Umpanulie ili aweke vyema Dikoda uliko mwelekeo wa huo Mpanuo wako.Fundi dish popote ulipo Nina shida nitafute dish la azam
Fundi kasema akimaliza kukuletea hilo Dishi angependa pia Umpanulie ili aweke vyema Dikoda uliko mwelekeo wa huo Mpanuo wako.Ita fundi aje aset hili dish
Kuna mwenzake leo kwenye mwendokasi toka kimara kwenda Morocco,kakasirikiana na kijana wa kiume hadi kuanza kupigana.Jamaa mmoja akaenda kuamulia yule dada si akampiga kibao jamaa,jamaa amemtandika mpaka kamtoa manundu.Yule dada hata wanawake wenzake wamemuona jau,wakampongeza jamaa aliyegeuka Yombayomba na kumtoa manundu.Wanawake watched kutunisha maziwa yao na kujifanya wababe.Wanaume sasa hivi hawasaidii kisa eti mwanamke ,ukizingua wanakuzingua.Mh waziri anawaonesha wanawake kuwa mke atabaki mke tu."Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake tukashirikiana na kusaidiana, sina haja ya kuringa sababu mimi Waziri na yeye sio waziri.
Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu" Mhe. Dkt Dorothy Gwajima ni waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Chanzo: JamiiForums
Kila nikirudia kusoma hiki alichokiandika hapa kuna mambo kama Matatu Matano hivi ninayaona. Mumewe aringe tu!!!
Muite
Subiri anakujaMuite
Saw sauwiaSubiri anakuja
Nimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeeeSubiri anakuja
Ufafanuz tafadhaliNimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Wewe unaitwa mama nani,nikumbushe
Imagine Mhe. Waziri Dkt. Gwajima D amelazimika kusoma hapa.Fundi kasema akimaliza kukuletea hilo Dishi angependa pia Umpanulie ili aweke vyema Dikoda uliko mwelekeo wa huo Mpanuo wako.