Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

Jamani Mimi Hili suala limeniumiza sana , watu kuonewa hivihivi bila kosa lolote , kwa yeyote yule mwenye jina la hakimu mwenye kesi hiyo happy Singida naomba niwekeeni hapa na picha yake , niende kidyamsitu kwa Babu uonezi umezidi , huyo hakimu na nani sijui nawapa wiki wawe wamewaachia vinginevyo naenda kwa Bibi pichani hapa chini , Kama hawana familia shauri Yao .
 
Anayewatesa hawa ni DPP
 
Mkuu kila jambo hutokea kwa makusudi, acha wawatese lakini unategemea kwa mateso haya, ndg zao, wazazi, wapenzi na rafiki zao watakipigia ccm kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…