Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Kwenye miradi yote mikubwa kuanzia ununuzi wa Ndege wanaccm wamefanya ufisadi wa kutisha mno kila kona kuna 10% zao wanaccm ni wanufaika wa kila miradi mikubwa Tanzania
Ndiyo maana wanasifia sifia tu Kaka mazuzu
 
Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na watanzania wengine wasio na vya vyama
Iko sawa mkuu unajua shida ya mtoto mshamba ndiyo hiyo
 
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ndiyo kuleta vurugu, CCM inawanyanyasa wapinzani ikizani watavumilia milele, hakuna mabaya yasiyo na mwisho.
Msaliti ameshawaambia akikosa urais atawaamrisha muingie barabarani karibuni mgongwe na magari mchana kweupeee!!
 
Uzi umekamilika??
 
2020 inakuja kivingine ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania
Wamalawi wenyewe waliogopa kupigana na WaTanzanzania hayo ya kwao yanawezaje kuja huku??? Kila baba na uwezo wa nyumba yake
 

Mbona sijawahi kusikia kuonywa kwa Magufuli!! yeye ni Mungu?
 
Kwani shida nini? Kama ni maendeleo si tunayaona...acha uoga kila kitu kitaamuliwa na muda....kama ni muda wa machafuko tz ww huwezi kuzuia....so acha mambo yaende na majira yake
 
Tundu Lisu ametumwa na mabeberu na M.Seif ametumwa na waarabu. Hoja hizi zinatolewa na watu wazima wenye akili timamu au ?
 
Tundu Lisu ametumwa na mabeberu na M.Seif ametumwa na waarabu. Hoja hizi zinatolewa na watu wazima wenye akili timamu au ?
Ndio mjue wananchi wanajua kila kitu mnachofanya..huko kwa mabwana zenuu...unanisoma sijui...Tanzania na watanzania walipofika hawapo tayari kurudi nyuma..
 
Ndio mjue wananchi wanajua kila kitu mnachofanya..huko kwa mabwana zenuu...unanisoma sijui...Tanzania na watanzania walipofika hawapo tayari kurudi nyuma..
Nyuma ? Matusi hayo kaka. Hakuna anaependa nyuma huku wala hakuna bwana. Nadhani wazanzibari wanataka mabadiliko na wala hakuna msukumo wa kutoka nje ya visiwa acheni propaganda chafu.

Waoman wale ni ndugu zetu sio udugu wa damu tuu pia ni waislamu wale. Au hujuwi kama waislamu wote ni ndugu ? Tanganyika pia ni ndugu zetu, wakenya, wahindi, wayemen n.k. Zanzibar ni kisiwa kaka kuna watu wa kila aina, ukija na visiasa vyako uchwara vya kukopi paste kama babu yako Nyerere ndio ubakie kutumia nguvu tuu lakini sio kukubalika kwa wananchi.
 
Ila nashangaaga Sana chadema ni kwa Nini zile drama wanazo fanyaga kina zitto,lema na sugu za kujijengea mikakati ya kujikamatisha,kuchoma ofc zao na kuvamia misafara yao hawazioni
Bangi zingine!!
 


Katambi kamaliza kila kitu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…