Nakupa chimbo la sahani za mifupa! Kariakoo Livingstone n Aggrey

Kwa kupambana kutafuta masoko, maana bila shaka hiyo ni ofisi yako au wewe ni winga au pointer unapiga kamisheni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

NB
inawezekana alikua anamaanisha hivyo
Hapana mkuu, mm ni information taker tu! Nna wateja wengi kias. So nikifika sehem ya kushea na wadau info nashea. Mana jf ina vijana wengi sana graduate na hWana jambo! So nawapa mawazo ya nn cha kufanya tu.

Usitegemee wateja jf angalia watu wote walioanza kupost bidhaa humu mwendo wao! Hawapost kila siku na hawana mood tena. Jf hakuna wateja wa bidhaa

Kuhus la uwinga mkuu napiga sana. Nina wateja wengi kias... so hili lisikutishe sana. Na napata followers na marafiki wapya kupitia hiz nyuz za machimbo! It's much hobbies rather than profit based
 
Right Way In Light nina nyuz nyingi sana zinazofata mlolongo wa youth empowerment! Nimefundisha biashara ya uwinga, nimefundisha pia mitumba humu. Pia kuna nyuzi nilikuw napost nafas za kazi tu.
 
+2557661833
Mwenye duka la vikombe vya plastiki kutoka Kenya (kenstars) hizo hapo! Usitaje jina wala usihangaike na lolote fika kona hizo.

Nb anauza Katon sio dazeni. Kuna bakuli zinauzwa (120k) hapo zinakaa dozen 40(12Γ—40) zinafaa kuuzwa kwa 500 tu. So kila pis moja hapo ni 250 tu, unauza 500 faida 250.
 

Attachments

  • IMG-20240819-WA0170.jpeg
    657.5 KB · Views: 7
  • IMG-20240819-WA0172.jpeg
    627.1 KB · Views: 6
  • IMG-20240819-WA0166.jpeg
    904.8 KB · Views: 6
  • IMG-20240819-WA0162.jpeg
    1,001.6 KB · Views: 6
Malizia (...02)
 
Hizo sahani nusu wanauza?
 
Sasa mimi nna nongwa gani tena?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…