Nakupa chimbo la sahani za mifupa! Kariakoo Livingstone n Aggrey

Nakupa chimbo la sahani za mifupa! Kariakoo Livingstone n Aggrey

Kwa kupambana kutafuta masoko, maana bila shaka hiyo ni ofisi yako au wewe ni winga au pointer unapiga kamisheni 😂😂😂

NB
inawezekana alikua anamaanisha hivyo
Hapana mkuu, mm ni information taker tu! Nna wateja wengi kias. So nikifika sehem ya kushea na wadau info nashea. Mana jf ina vijana wengi sana graduate na hWana jambo! So nawapa mawazo ya nn cha kufanya tu.

Usitegemee wateja jf angalia watu wote walioanza kupost bidhaa humu mwendo wao! Hawapost kila siku na hawana mood tena. Jf hakuna wateja wa bidhaa

Kuhus la uwinga mkuu napiga sana. Nina wateja wengi kias... so hili lisikutishe sana. Na napata followers na marafiki wapya kupitia hiz nyuz za machimbo! It's much hobbies rather than profit based
 
+2557661833
Mwenye duka la vikombe vya plastiki kutoka Kenya (kenstars) hizo hapo! Usitaje jina wala usihangaike na lolote fika kona hizo.

Nb anauza Katon sio dazeni. Kuna bakuli zinauzwa (120k) hapo zinakaa dozen 40(12×40) zinafaa kuuzwa kwa 500 tu. So kila pis moja hapo ni 250 tu, unauza 500 faida 250.
 

Attachments

  • IMG-20240819-WA0170.jpeg
    IMG-20240819-WA0170.jpeg
    657.5 KB · Views: 7
  • IMG-20240819-WA0172.jpeg
    IMG-20240819-WA0172.jpeg
    627.1 KB · Views: 6
  • IMG-20240819-WA0166.jpeg
    IMG-20240819-WA0166.jpeg
    904.8 KB · Views: 6
  • IMG-20240819-WA0162.jpeg
    IMG-20240819-WA0162.jpeg
    1,001.6 KB · Views: 6
+2557661833
Mwenye duka la vikombe vya plastiki kutoka Kenya (kenstars) hizo hapo! Usitaje jina wala usihangaike na lolote fika kona hizo.

Nb anauza Katon sio dazeni. Kuna bakuli zinauzwa (120k) hapo zinakaa dozen 40(12×40) zinafaa kuuzwa kwa 500 tu. So kila pis moja hapo ni 250 tu, unauza 500 faida 250.
Malizia (...02)
 
Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes...

Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na livingstone.

Hesabu ya boksi ni pisi 72, na bei ya mjumuisho pia inaainishwa. Kwa bei ya mchina kila pis ni 1250 mitaani huko wanatuuzia 2500

Fika ukajioneee! Kalaga baho
View attachment 3073948View attachment 3073949View attachment 3073950View attachment 3073951View attachment 3073952
Hizo sahani nusu wanauza?
 
Sasa mimi nna nongwa gani tena?? 😂😂
 
Back
Top Bottom