Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
naomba nikaione kwanza aseeeeKwenye dunia ya watu wasiokufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba nikaione kwanza aseeeeKwenye dunia ya watu wasiokufa
I Love younaomba nikaione kwanza aseeee
Hapana mkuu, mm ni information taker tu! Nna wateja wengi kias. So nikifika sehem ya kushea na wadau info nashea. Mana jf ina vijana wengi sana graduate na hWana jambo! So nawapa mawazo ya nn cha kufanya tu.Kwa kupambana kutafuta masoko, maana bila shaka hiyo ni ofisi yako au wewe ni winga au pointer unapiga kamisheni 😂😂😂
NB
inawezekana alikua anamaanisha hivyo
Naomba helaI Love you
Njoo uchukue mbagala hapaNaomba hela
Malizia (...02)+2557661833
Mwenye duka la vikombe vya plastiki kutoka Kenya (kenstars) hizo hapo! Usitaje jina wala usihangaike na lolote fika kona hizo.
Nb anauza Katon sio dazeni. Kuna bakuli zinauzwa (120k) hapo zinakaa dozen 40(12×40) zinafaa kuuzwa kwa 500 tu. So kila pis moja hapo ni 250 tu, unauza 500 faida 250.
Kiatu ile ndo unaitaka?kalaga baho..mzee wa codes
Hizo sahani nusu wanauza?Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes...
Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na livingstone.
Hesabu ya boksi ni pisi 72, na bei ya mjumuisho pia inaainishwa. Kwa bei ya mchina kila pis ni 1250 mitaani huko wanatuuzia 2500
Fika ukajioneee! Kalaga baho
View attachment 3073948View attachment 3073949View attachment 3073950View attachment 3073951View attachment 3073952
Huyo mchina bos. Haizi nusu! Anauaza kama hivyo iliyochanganuliwa hapo. Au mate watu wawili mchange mkanunue nzima mgawaneHizo sahani nusu wanauza?
Ok BossHuyo mchina bos. Haizi nusu! Anauaza kama hivyo iliyochanganuliwa hapo. Au mate watu wawili mchange mkanunue nzima mgawane