Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?[/QUOTE]
gud gal.
Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!
Wachaga hoyeeeeeee!! Kakakiiza mambo vipi, Unataka kuoa au umeoa mchagga?? Tunashukuru kwa sababu unatupenda, nijibu hayo maswali kwanza, Halafu nitakuambia huwa tunataka nini hasa kwako!!
hatufanyi yote hayo alioyataja lkn tunatafutwa kama lulu, why? kwa sababu wanajua hata siku moja hawatalala njaa!Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajua
uwe na kabati ya mbeo na ikari lya maaree
Naomba kuuliza kwa jamii ya JF Hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??Kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea Penzi,Kuboresha Penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
Hapo ndipo panapowatatizaga wengi!Hawataki kutofautisha kati ya mtu asienazo wala mwelekeo wakuzisaka na ambae hana ila amekaa kimaendeleo!Umesema kila kitu kwa hayo maneno machache,thank you very much!!!!
Orait, Orait.........hii naona inatoka kwenye original horse's mouth.Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!
Nataka nianzishe kampeni kupinga UCHAGGAchuaji!.HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?[/QUOTE]
gud gal.
Nataka nianzishe kampeni kupinga UCHAGGAchuaji!
Mngikumburie na inyi.count me in......lol:shock:
Eeka mae,kwifenda ro???πlayball:
Kaka Kiiza we sema tu unahitaji kuwa shemeji etu bana acha kuzungukazunguka ntakusaidia.Ila ujue dada zangu hawatakagi utani yaani kwenye kuzichanga hawataki bwana bishoo bishoo anayechagua kazi au msafi msafi halafu legelege hajui kuchakarika.Mambo ya mapenzi ni baadae mkishapata leri/besaa ati.Masharti na vigezo ndo ivyo ili angalau uzingatiwe.naomba kuuliza kwa jamii ya jf hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea penzi,kuboresha penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
kyekue nyinda? kuifoinda:nono:
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?
tehe tehe!!πππ ticha kapisa mae.πππShiifo nisha mbe,mbon tafo??
Eeeewaaaaaaa............dada zake Biggie wanapendwa saaaaaaaanaaaaa! ndo maana hawatoki midomoni kwao......πLizzy cna nyongeza umemaliza, wanatupenda sana ndio mana hawaishi kutujadili.