Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?

Umesema kila kitu kwa hayo maneno machache,thank you very much!!!!
 
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?[/QUOTE]

gud gal.
 
Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!

Ha ha ha ha Trustme,waambie na hatupendi mibaba......lol

Asante kwa kuwapa ukweli wa 21st century!!!!😛layball:
 
Wachaga hoyeeeeeee!! Kakakiiza mambo vipi, Unataka kuoa au umeoa mchagga?? Tunashukuru kwa sababu unatupenda, nijibu hayo maswali kwanza, Halafu nitakuambia huwa tunataka nini hasa kwako!!

angepata bahat ya kuoa mchaga angeringa hata humu asingeingia. Nafikiri yupo kwenye mchakato wa kutafuta mchaga!
 
Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajua
hatufanyi yote hayo alioyataja lkn tunatafutwa kama lulu, why? kwa sababu wanajua hata siku moja hawatalala njaa!
 
Naomba kuuliza kwa jamii ya JF Hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??Kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea Penzi,Kuboresha Penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??

mbembelezwe mnyenyekewe ili mringe eeh!
 
Umesema kila kitu kwa hayo maneno machache,thank you very much!!!!
Hapo ndipo panapowatatizaga wengi!Hawataki kutofautisha kati ya mtu asienazo wala mwelekeo wakuzisaka na ambae hana ila amekaa kimaendeleo!
 
Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!
Orait, Orait.........hii naona inatoka kwenye original horse's mouth.
 
naomba kuuliza kwa jamii ya jf hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea penzi,kuboresha penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
Kaka Kiiza we sema tu unahitaji kuwa shemeji etu bana acha kuzungukazunguka ntakusaidia.Ila ujue dada zangu hawatakagi utani yaani kwenye kuzichanga hawataki bwana bishoo bishoo anayechagua kazi au msafi msafi halafu legelege hajui kuchakarika.Mambo ya mapenzi ni baadae mkishapata leri/besaa ati.Masharti na vigezo ndo ivyo ili angalau uzingatiwe.
 
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?

Lizzy cna nyongeza umemaliza, wanatupenda sana ndio mana hawaishi kutujadili.
 
Lizzy cna nyongeza umemaliza, wanatupenda sana ndio mana hawaishi kutujadili.
Eeeewaaaaaaa............dada zake Biggie wanapendwa saaaaaaaanaaaaa! ndo maana hawatoki midomoni kwao......🙂
 
Apaaaaaaaaarrrruaaaaaaa!!!! vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom