Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Yani...hapo ujue mtu choka mbaya alafu kapigwa kibuti basi moja kwa moja anafikiria ishu ni mshiko kumbe kuna mengine!!!
 
Umegeneralize sana kwani kuna wanawake wa Kichaga hata ungetumia mbinu hizo bado hujawapata.
 
Hebu mueleze vizuri, nadhani hajui sawasawa wachaga wako je.
Mchagga umdanganye na hela/vijisenti?

Wa wapi huyo?

Hapo sasa,....sijui hawa watu wanatuonaje!!:eyeroll1:
 
umechukua pesono sana, hayo ya kufanya risechi yanahitaji mtu mwenye shida zake ki akademiki, huyu anataka tu eksipiriensi za watu, wala isikuofendi kama wewe ni mchaga na hupendi kabisa mkwanja.

Mtu ataachaje kuchukulia personal kitu kinachomhusu???:eyeroll1:
 
Kuhonga bila mzigo siwezi. Mzigo kwanza then mshiko. Of course motive zinafautiana kama unataka kuwa kipanga au la. Kama uhusino wa kawaida tu pesa haitumiki, na kama itatumika itakuwa By-the-way.
 
Mtu ataachaje kuchukulia personal kitu kinachomhusu???:eyeroll1:

hata sijui nianzie wapi, lakini kwa ushauri tu, uki pesonalizi maneno ya humu utapata BIPI, kuna siku mtu atakuja na hoja wanawake wanaovaa G string wanatoa tigo nayo utaichulia kama inakuhuhusu?
 
hii thread ndo imenifurahisha zaidi kwa siku ya leo, wana jf mnaonyesha uzoefu wenu katika ishu za mahusiano! Binafsi siamini ktk nadharia ya kuhonga, naamini lile tendo linatufurahisha wote, so sina haja ya kulilipia. Kama hataki, achape lapa!
 
hata sijui nianzie wapi, lakini kwa ushauri tu, uki pesonalizi maneno ya humu utapata BIPI, kuna siku mtu atakuja na hoja wanawake wanaovaa G string wanatoa tigo nayo utaichulia kama inakuhuhusu?

Hii imezidi..maana mnavyotukomalia...mara miguu...mara mshiko...mara sijui washamba....mara sijui hatuna mapenzi list inaendelea!!Alafu bado mnatutaka!!!
 
nimecheka :smile-big::smile-big:
 
Hii imezidi..maana mnavyotukomalia...mara miguu...mara mshiko...mara sijui washamba....mara sijui hatuna mapenzi list inaendelea!!Alafu bado mnatutaka!!!

aisee !!! kwani nyie mnawataka pia?
 
kwetu kule "useri" karibu na ile shule ya sekondari

dena mimi masai ila napenda sana warombo habari yafoo mshiki wakwa? Hichi ni kipimo sahihi cha kutambua kama wewe kweli ni wa useri nijibu asee!
 
Hii imezidi..maana mnavyotukomalia...mara miguu...mara mshiko...mara sijui washamba....mara sijui hatuna mapenzi list inaendelea!!Alafu bado mnatutaka!!!

wadada wa kichaga ni zaidi ya hayo yanayosemwa, ni wacheshi, na kwa kuwa hawana mapenzi ya kweli si wasumbufu, na kwa ujasiriamali wapo juu kama unafikiria maisha ya watoto wako baada ya kifo chako wachaga ni ndio jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…