Nakupa ukweli mchungu

Nakupa ukweli mchungu

Screenshot_20210523-220501_Chrome.jpg
 
Huu uzi siyo mrefu. Nataka nikupe ukweli mchungu wewe mwanaume mwenzangu kwamba "Ukioa mwanamke mwenye makalio lazima uchapiwe labda kama huyo mwanamke anamwogopa Mungu".

Nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha, sehemu nilizoishi na kufanya kazi. Kwahiyo kama wewe una mpango wa kuoa makalio kama vijana wengi tulivyo basi hili ni jambo la kuzingatia sana.

Niwatakie mchana mwema!
Sasa wee unataka kuoa mwanamke ambaye wengine hawataki kumtomber?
 
Kuna mke wa mtu namjua. Ikitokea ukamfunika uso, hujui mbele wapi nyuma wapi. Ni kwamba ni bapa kama meza ya kupigia pasi.
Lakini huwezi amini, anakipigisha nje ya ndoa kama vile anataka kuukomoa uchi wake.
Kwa kifupi, kuchapwa kwa mwanamke ni hulka na matakwa yake. Haijalishi awe na matako kama Vera Sidika au bapa kama Zuchu.
Kumbe zuchu hana tako🤣🤣🤣🤣
 
Awe wa namna yeyote ile atapigwa tu!! Ili kumitigate possibility ya kuchawapiwa tafuta demu unamuweka ndani ila kama anazunguka sana kama mfanyabiashara au mfanyakazi anakutana na watu kibao so kupigiwa atapigwa tu ...wahuni sio watu wazuri. Hata akikaaa home wapo vijana wa kitaa Wana akili mbaya hata kwa ulozi watampta tu.
Kwahiyo unahisi nini kifanyike boss!
 
Kuna mke wa mtu namjua. Ikitokea ukamfunika uso, hujui mbele wapi nyuma wapi. Ni kwamba ni bapa kama meza ya kupigia pasi.
Lakini huwezi amini, anakipigisha nje ya ndoa kama vile anataka kuukomoa uchi wake.
Kwa kifupi, kuchapwa kwa mwanamke ni hulka na matakwa yake. Haijalishi awe na matako kama Vera Sidika au bapa kama Zuchu.
Mama3....mifano halisi
 
Umefanya utafiti na wanawake wangapi, ikiwa ivyo sasa hawa wenye makalio makubwa waolewe na nan
Yaani mwanamke mwenye makalio makubwa inabidi awe mcha Mungu sana ili astahili kuwa mke.
 
Hivi piga picha akilini mwako mkeo anapewa vitu na mwanaume mwingine, lile joto unalolipata, zile style unazopata kuna mtu anapewa, mkeo anatoa miguno ya mahaba halafu mwisho wa mchezo anako.jole.wa kabisa. Huyo ni mkeo boss, unajiskiaje ?
Kwa mimi siwezi kujisikia vibaya kwa sababu mimi mwenyewe nina michepuko ambayo ni wake za watu
 
Kuna mke wa mtu namjua. Ikitokea ukamfunika uso, hujui mbele wapi nyuma wapi. Ni kwamba ni bapa kama meza ya kupigia pasi.
Lakini huwezi amini, anakipigisha nje ya ndoa kama vile anataka kuukomoa uchi wake.
Kwa kifupi, kuchapwa kwa mwanamke ni hulka na matakwa yake. Haijalishi awe na matako kama Vera Sidika au bapa kama Zuchu.
Kaka upo nchi gani ? Mbele ya shundu watu wanapanda dau wewe, yaani kitu pekee cha kumuokoa mwanamke mwenye shundu ni kumuogopa Mungu.
 
Hivi piga picha akilini mwako mkeo anapewa vitu na mwanaume mwingine, lile joto unalolipata, zile style unazopata kuna mtu anapewa, mkeo anatoa miguno ya mahaba halafu mwisho wa mchezo anako.jole.wa kabisa. Huyo ni mkeo boss, unajiskiaje ?
Kwa mimi siwei kujisikia vibaya kwa sababu mimi mwenyewe nina michepuko ambayo ni wake za watu
 
Huu uzi siyo mrefu. Nataka nikupe ukweli mchungu wewe mwanaume mwenzangu kwamba "Ukioa mwanamke mwenye makalio lazima uchapiwe labda kama huyo mwanamke anamwogopa Mungu".

Nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha, sehemu nilizoishi na kufanya kazi. Kwahiyo kama wewe una mpango wa kuoa makalio kama vijana wengi tulivyo basi hili ni jambo la kuzingatia sana.

Niwatakie mchana mwema!
Kwahiyo wasio na kalio hawachepuki..?umalaya wa mwanamke hauangalii ana umbo gani...bali ni tabia yake tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kaka upo nchi gani ? Mbele ya shundu watu wanapanda dau wewe, yaani kitu pekee cha kumuokoa mwanamke mwenye shundu ni kumuogopa Mungu.
Attraction is subjective. Mvuto ni swala mtambuka kaka.
Mathalan, mimi kama mimi weka mwanamke mwenye tako upande mmoja na kiportable upande wa pili. Bila kupepesa na kufikiri mara mbili nitaenda kwa kiportable.
Wengi wanaosifia matako makubwa ni kwa angle ya kutazama kwa nje ila kwa swala la starehe ya ngono hasa vimbaumbau ni swala lingine.
Mwenye nia hasa ya kuzini tako ni kionjo tu kaka. Abdallah kichwa wazi anaangalia joto la pango tu.
 
Back
Top Bottom