- Thread starter
- #41
Labda unipe mwanga boss. Nini kinakuvutia kwa mwanamke flat screen?Attraction is subjective. Mvuto ni swala mtambuka kaka.
Mathalan, mimi kama mimi weka mwanamke mwenye tako upande mmoja na kiportable upande wa pili. Bila kupepesa na kufikiri mara mbili nitaenda kwa kiportable.
Wengi wanaosifia matako makubwa ni kwa angle ya kutazama kwa nje ila kwa swala la starehe ya ngono hasa vimbaumbau ni swala lingine.
Mwenye nia hasa ya kuzini tako ni kionjo tu kaka. Abdallah kichwa wazi anaangalia joto la pango tu.