Nakupa vidokezo vya jinsi unavyoweza kutumia maumbile ya kimapenzi ya mwanamke kumfikisha kileleni

Nakupa vidokezo vya jinsi unavyoweza kutumia maumbile ya kimapenzi ya mwanamke kumfikisha kileleni

Mishahara ikiwekwa siku za weekend mambo yanakuwa hovyo sana.

Nenda kwenye Uzi wetu ukatuwekee code tupige pesa mkuu wacha uzinzi
 
Pafu dadi kwenye moja na mbili
Mtaalamu wa hizi kazi🤣
1000103015.jpg
 
🔥💪TUMIA SIRI HIZI 6 TU, KUMKOJOZA MKE WAKO USIKU WA LEO
⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️

Kumfikisha mwanamke kileleni ni mchakato unaohusisha utambuzi wa mwili wake, hisia zake, na mahitaji yake ya kimapenzi.

Nakupa vidokezo vya jinsi unavyoweza kutumia maumbile ya kimapenzi ya mwanamke kumfikisha kileleni.

1. Elewa Maeneo Yenye Hisia Kali

Maeneo haya ni sehemu za mwili ambazo ni ukimgusa zinampa hisia za kimapenzi Kwa haraka.

👉Kinembe au kihange

Hii ni sehemu muhimu zaidi kwa mwanamke kufika kileleni. Kinembe kina mishipa mingi ya fahamu na inampa hisia sana. Kugusa taratibu, Kwa uume humpa hisia kali sana mwanamke.

👉G-Spot( kidoti Cha G)

Hii ni sehemu ndogo ndani ya uke, kwenye ukuta wa mbele (karibu inchi 1-3 ndani ya uke). Inaposisimuliwa, humpa hisia Kali na kumfikisha kileleni Kwa haraka. Kusugua pole pole na vidole visafi, visivyo na kucha huamsha hisia kali sana.

👉Matiti na chuchu.

Haya ni maeneo mengine yenye hisia kali. Kugusa, kubusu, au kuyashika taratibu huongeza msisimko wa kimapenzi

2. Muda na Utulivu

Mwanamke kufika kileleni mara nyingi kunahitaji muda na utulivu. Hakikisha unatumia muda wa kutosha kumchezea na kumsisimua.

Foreplay au (michezo ya awali) ni muhimu kwani unasaidia kumwandaa kwa msisimko zaidi na hisia kali.

3. Mawasiliano.

Mawasiliano ni muhimu. Zungumzeni kuhusu anachopenda na asichopenda. Hii itakusaidia kujua ni nini kinachomfanya ajisikie vizuri. Jifunze kusoma mwili wake na hisia zake ili kujua ni wakati gani anafurahia zaidi.

4. Mbinu ya Kumsisimua. Unaweza kutumia kati ya hizi:

👉 Kumsisimua kwenye kinembe


Chezea taratibu kinembe chake, sugua taratibu Kwa muda mrefu kadiri inavyowezekana. Muulize anajisikiaje,paka mafuta kwenye vidole ili kufanya utelezi. Utaona kinasimama, kina dinda kama uume.

👉 Kumpagawisha kwa uume

Si kila mwanamke hufika kileleni kwa uume kuingiza ndani uume., hivyo kuchanganya mbinu za kumchezea kinembe wakati wa sex, ni muhimu na atakuona na mjuzi namba 1.

👉Mbinu mchanganyiko.

Kuchanganya mbinu tofauti kama vile kuchezea kinembe na wakati huo huo unamsugua kwa kidole au uume huongeza nyege na kumfikisha haraka kileleni

5. Mazingira ya kunyanduana.

Hakikisha eneo ni tulivu, lenye faragha, na linalomfanya mwanamke ajisikie huru. Vitu kama muziki wa taratibu, taa za kufifia, na harufu nzuri ya manukato yanaweza hungeza hisia za kimahaba zaidi.

6. Tambua hisia zake za kimapenzi

Anaweza kufika kileleni kutokana na jinsi mnavyojihusisha kiakili na kihisia. Jitahidi kuelewa hali yake ya kihisia na kuongeza umakini kwenye kile mnachokifanyia

Kumbuka, kila mwanamke ni tofauti, hivyo itachukua muda kuelewa kile kinachomfanya ajisikie vizuri, Jifunze kwa uvumilivu na uelewa.

Fanyia kazi hayo Kisha leta mrejesho mambo yameendaje, baad
 
Wanaume tuna kazi na mateso unamgharimia demu tena kuna kazi ya kumridhisha

Huo ni upimbi kila mtu ashinde mechi zake!
 
Back
Top Bottom