Nakupa wazo la biashara bongo, ukishindwa kulitekeleza liboreshe hapahapa walitekeleze wengine

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,206
Reaction score
27,987
Kwema wakuu

Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun'

Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na wazo la kufungua activity moja inaitwq "Makofi festival". Yan makofi festival ni program maalum kwa ajili ya kunasana makofi. Kila anaelipia akiingia humo utakayemuona ni halali yako unampa la shavu na yeye anakurudishia hapohapo. Mnasalimiana kila mtu anatafuta mwingine.

Makofi festival inaanza pale tu ambapo umelipia tiketi nq unaingia ukumbini. Kuanzia aliekukatishia tiketi na walinzi pale wote halali yako pale tu utakappkuwa umekata tiketi yako.

Mkakati huu wa biashara ni mzuri sana, bunifu na utatoa ajira kwq vijana wengine.
 
Hatujambo.

We ukipigwa Kofi la Mtu wa huku Machimboni si ubongo utageuka uji mkuu? Utatusababishia tu kesi za mauaji..
Anhaaa kutakuwq na glov maalum kabisa na mask flan hiv za kupunguza mtiksiko wa kichwa na shav kiujumla. Mkakat ni secured na inaweza pia kutibu matatizo ya kuumwa kichwa au stress
 
Kwa kifupi hilo litakuwa danguro lililochangamka
Ewaaaa! Na hapo hat zikipatikana mimba utalaumiwa mwenye festival yako. Na unajua bongo kiubunif bado sana mkuu. Zanzibar huku kuna ghost tour pale stone town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…