Unachoshangaa hiyo age difference au hiyo SMS??Msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.
Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.
Nizaidieni nimshauri vipi huyu dogo?
Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
[emoji15][emoji26]Acha kijikojolee tu siku kikianza kujinyea tutakipa ushauri.
Huwa simshauri mtu hadi akutwe na janga, ukiona mtu anapotea acha kumwambia subiri apate janga huko alipokuwa anapaona ni pazuri ili awe na mfano wa kujifunza pale unapokuwa unampa ushauri.[emoji15][emoji26]
Msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.
Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.
Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?
Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
Kuchukua simu siyo suluhu hivi unajua namna ambavyo vitoto hukariri namba za simu?Mh pole sana Mkuu. Sitisha hayo mahusiano haraka sana na ikiwezekana chukua hiyo simu kwa muda ili wasiweze kuwasiliana.
Kuchukua simu siyo suluhu hivi unajua namna ambavyo vitoto hukariri namba za simu?
18 mtu mzima huyo, anahitaji muongozo tu sio mkwara
Hawa watoto kuwakabidhi simu huwa ni kosa kubwa sana la kimaadili. Yaani simu zina mambo mengi sana ni ngumu mtoto wa umri huo kuwa na simu na akakosa kurubuniwa.Hilo nalijua Mkuu lakini kwa kuwa atakuwa hanayo mkononi inaweza kusaidia kupunguza mawasiliano yao. Nilikuja hapa kuuliza mkojo upi? Kumbe ni mwenzetu ana tatizo na mdogo wake.
Hawa watoto kuwakabidhi simu huwa ni kosa kubwa sana la kimaadili. Yaani simu zina mambo mengi sana ni ngumu mtoto wa umri kuwa na simu na akakosa kurubuniwa.
Endapo kama huyo mdogo wake ni mwanafunzi basi ni wazi hata wao wamechangia kumharibu na kwa umri wa miaka 18 ni wazi kisheria huyo anatakiwa awe na hadhi ya uanafunzi.Acha tu Mkuu hizi simu ni balaa kubwa sana kwa watoto na zinahusika sana kwa kuharibu maadili ya jamii ikiwemo pia watoto.
Mh pole sana Mkuu. Sitisha hayo mahusiano haraka sana na ikiwezekana chukua hiyo simu kwa muda ili wasiweze kuwasiliana.