Nakupenda hadi najikojolea

Nakupenda hadi najikojolea

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
 
Mh pole sana Mkuu. Sitisha hayo mahusiano haraka sana na ikiwezekana chukua hiyo simu kwa muda ili wasiweze kuwasiliana.

Msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
 
Hilo nalijua Mkuu lakini kwa kuwa atakuwa hanayo mkononi inaweza kusaidia kupunguza mawasiliano yao. Nilikuja hapa kuuliza mkojo upi? Kumbe ni mwenzetu ana tatizo na mdogo wake.
Hawa watoto kuwakabidhi simu huwa ni kosa kubwa sana la kimaadili. Yaani simu zina mambo mengi sana ni ngumu mtoto wa umri huo kuwa na simu na akakosa kurubuniwa.
 
Mi naona huyo kubopa apigwe chini, nipewe mimi nafasi maana tunaendana kiumri.

Nawasilisha,
 
Kama hasomi wafungishe ndoa ya mkeka na kama anasoma nenda kwenye vyombo vya sheria otherwise jiandae kulea mtoto wa mwanaume mwenzio
 
Acha tu Mkuu hizi simu ni balaa kubwa sana kwa watoto na zinahusika sana kwa kuharibu maadili ya jamii ikiwemo pia watoto.

Hawa watoto kuwakabidhi simu huwa ni kosa kubwa sana la kimaadili. Yaani simu zina mambo mengi sana ni ngumu mtoto wa umri kuwa na simu na akakosa kurubuniwa.
 
Acha tu Mkuu hizi simu ni balaa kubwa sana kwa watoto na zinahusika sana kwa kuharibu maadili ya jamii ikiwemo pia watoto.
Endapo kama huyo mdogo wake ni mwanafunzi basi ni wazi hata wao wamechangia kumharibu na kwa umri wa miaka 18 ni wazi kisheria huyo anatakiwa awe na hadhi ya uanafunzi.

Sijui kwanini jamii huiga uzungu na kufanya maadili yashuke kiasi hiki, miaka 18 unampa simu ili awasiliane na nani na kwa sababu zipi za msingi, akiwa bado ni mwanafunzi anapewa kwa sababu kuu ipi yaani.

Huwa mambo mengi tunajitakia wenyewe na nikipata namba zake hata mimi lazima nimkojoze maana walio juu yake ndiyo wameamua kumpa mtaala wa umalaya.
 
Sio sawa watawasiliana kupitia sim ya rafiki yake je na ya rafiki yake utachukua fanya nae canseling atakuelewa ndio dawa
Mh pole sana Mkuu. Sitisha hayo mahusiano haraka sana na ikiwezekana chukua hiyo simu kwa muda ili wasiweze kuwasiliana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom