official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 389
- 818
Leave that relationship alone;
Najua ni instict kwa kaka kumlinda dada kwa changamoto za mahusiano.
Badala ya kufocus kwenye kutenganisha/kubomoa hayo mahusiano. Chukua hatua kadhaa
Unaweza kufanya yafuatayo:-
1. Jenga ukaribu na dada yako, kama mpo karibu anza mazoea ya kuzungumza naye. Hii sio ili akwambie kuhusu mahusiano yake lakini ili wewe upime ukomavu wa akili ya mdogo wako.
2. Angalia ratiba zake na ikiwezekana anza kuziminya bila kuonyesha mashaka dhidi ya mahusiano yake. Mbinu nzuri zaidi ni ku-cancel ratiba zake za kutoka katika dakika za mwisho.
3. Hakikisha unampatia mahitaji yake kwa kutosha na kumpa hela ya ziada.
4. Kwa mbali mgusie umuhimu wa elimu na wanawake wenye taaluma
5. Kamwe usizungumzie habari za mahusiano yake ili asianze kuwa msiri na taarifa zake. Intelejensia inaamini kwamba information is power. kadiri anavyoamini kwamba wewe hufahamu chochote ndio inakupa urahisi wa kujua mengi zaidi kama; mahali anapoishi jamaa; wanakutana lini na wapi?
6. Chukua namba ya jamaa na umfatilie kwa ukaribu. Kama unaweza tafuta binti ajifanye amekosea meseji ili jamaa atamani kumtongoza na kujenga naye ukaribu. Hii inaweza kuwa njia rahisi ya kumkamata jamaa kwa kesi ya kufumania huku wewe ukitafuta mtu mwingine kuwa mume wa huyo dada. Au baada ya mazoea ya huyu dada na jamaa mnaweza kupanga namna ambavyo huyu mdogo wako anavyoweza kufumaniwa(fumanizi la kupanga) ili kumshushia jamaa hadhi.
Ukishindwa yote zipo mbinu mbili zaidi nitakupatia.