Nakupenda hadi najikojolea

Nakupenda hadi najikojolea

Leave that relationship alone;
Najua ni instict kwa kaka kumlinda dada kwa changamoto za mahusiano.
Badala ya kufocus kwenye kutenganisha/kubomoa hayo mahusiano. Chukua hatua kadhaa
Unaweza kufanya yafuatayo:-
1. Jenga ukaribu na dada yako, kama mpo karibu anza mazoea ya kuzungumza naye. Hii sio ili akwambie kuhusu mahusiano yake lakini ili wewe upime ukomavu wa akili ya mdogo wako.
2. Angalia ratiba zake na ikiwezekana anza kuziminya bila kuonyesha mashaka dhidi ya mahusiano yake. Mbinu nzuri zaidi ni ku-cancel ratiba zake za kutoka katika dakika za mwisho.
3. Hakikisha unampatia mahitaji yake kwa kutosha na kumpa hela ya ziada.
4. Kwa mbali mgusie umuhimu wa elimu na wanawake wenye taaluma
5. Kamwe usizungumzie habari za mahusiano yake ili asianze kuwa msiri na taarifa zake. Intelejensia inaamini kwamba information is power. kadiri anavyoamini kwamba wewe hufahamu chochote ndio inakupa urahisi wa kujua mengi zaidi kama; mahali anapoishi jamaa; wanakutana lini na wapi?
6. Chukua namba ya jamaa na umfatilie kwa ukaribu. Kama unaweza tafuta binti ajifanye amekosea meseji ili jamaa atamani kumtongoza na kujenga naye ukaribu. Hii inaweza kuwa njia rahisi ya kumkamata jamaa kwa kesi ya kufumania huku wewe ukitafuta mtu mwingine kuwa mume wa huyo dada. Au baada ya mazoea ya huyu dada na jamaa mnaweza kupanga namna ambavyo huyu mdogo wako anavyoweza kufumaniwa(fumanizi la kupanga) ili kumshushia jamaa hadhi.
Ukishindwa yote zipo mbinu mbili zaidi nitakupatia.
 
Okay lakini akitiwa mimba polisi hawatamsaidia chochote kile na kama yuko shule kitabu ndiyo basi tena. Tayari single mother 99% ya wanaume hawamtaki kama mke wanagegeda na kusepa na si ajabu kumuongezea idadi ya watoto wasiokuwa na Baba.
Huwa-hawalijui hilo ati
 
Huwa simshauri mtu hadi akutwe na janga, ukiona mtu anapotea acha kumwambia subiri apate janga huko alipokuwa anapaona ni pazuri ili awe na mfano wa kujifunza pale unapokuwa unampa ushauri.
Mtu mmoja aliwahi niambia hivi " siwezi kumshauri dada au ndugu yangu wa kike kuhusu mambo yake na boyfriend wake, nikamuuliza WHY akajibu kuwa mimi nitamshauri au kumpa maonyo nikiwa nimevaa nguo, akitoka kwangu ataenda kwa huyo mshikaji wake watashauriana wamevua nguo, unadhani ushauri wa nani utakuwa na nguvu hapo? JIBU UNALO.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio sawa watawasiliana kupitia sim ya rafiki yake je na ya rafiki yake utachukua fanya nae canseling atakuelewa ndio dawa
Hapo dawa ni kutumia njia zote yaani kuwa mkali kumuwakia na makofi ikibidi, kumnyanganya simu na kumpa nasaha za maisha vinginevyo mtalea mimba soon...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ina ukakasi kiasi fulani lakini kuna ukweli asilimia kubwa, kikubwa kama kaka, dada, mzazi au mlezi nikujenga mazoea na ukaribu na hawa viumbe kabla umri wao wakutaradadi haujafika lakini wakishaanza tu na huko nyuma hukufanya sehemu yako ya kumjenga na kumfanya rafiki yako, sahau ushauri wako kukubalika mpaka matokeo mabaya yakimkuta ndo akili zitamrudi.
 
Najaribu iisjindikana basi tena
 
huyo dingi anamuaharibu vibaya sana mdogo wako sehemu zake..mpama akifikisha 25 kama bado atakuwa nae itakuwa ni habari nyingine.
 
Hata ukashauri nini hakataelewa mana kanakojozwa Ila kaambie kuna ngwengwe na mimba katumie condom
 
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
Perfect
 
Waislamu ninawakubali sana misimamo yao kuhusu mwanamke. Huyo binti wa miaka 18 kwa waislamu anaozeshwa kabisa kwa huyo jamaa. Kama wanapendana waoane. Katika upumbavu kama kaka unaweza ukafanya ni kuweka pua yako kwenye mahusiano ya dada.
 
Back
Top Bottom