Nakupenda Kritika

Nakupenda Kritika

Mnhhhhh again, Mods futa huu upotolo.....hata wewe ukitaka kudhalilishwa nitawaambia mods wafute,ni responsibility ya kila mwanajeiefu..kulinda wengine, as for mods, ni kweli ukiwaambia wafute wanaangalia contents kama zimelenga kumu harass mtu wanazifuta,na wao ni binadamu therefore inapaswa kuwakumbusha, mwisho unaweza kuniweka kwenye ignore list, kama hufagilii ninachoandika.bye.

Mwenzio kadondokewa wewe unasema kadhalilishwa, acha wivu nawe kakanyage mafuta huko!
 
Wanaume...Muwe mnajiheshimu..mnakela Sana kritika..
 
imsitujazie server,Mods futa huu upotolo..umelenga kumdhalilisha member (Character assasination),hapa unajuaje huyo kritika ameamua kuvaa tu uhusia na labda ni mke wa mtu mwenye watoto???....
Habari yako mwanasaikolojia. Pole na majukumu ya idara yako ya saikolojia. Natumai upo vizuri kabisa kisaikolojia. Huna tatizo lolote?
 
Back
Top Bottom