Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Mar 13, 2024 #1 Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake na akatuonyesha meseji akimuomba msamaha na kumuomba asimpige tena. LOVE IS A BEAUTIFUL THING
Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake na akatuonyesha meseji akimuomba msamaha na kumuomba asimpige tena. LOVE IS A BEAUTIFUL THING
Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,343 Reaction score 10,799 Mar 13, 2024 #2 Kwaiyo angepigwa na mwiko...na mkewe ambae sio single mother ingekuwa sawa.. Shida ni kwamba ni single mother?.
Kwaiyo angepigwa na mwiko...na mkewe ambae sio single mother ingekuwa sawa.. Shida ni kwamba ni single mother?.
Man Jau JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 507 Reaction score 779 Mar 14, 2024 #3 Alafu inaonesha single maza wana hasira sana ..sijui kwanini...
W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,151 Reaction score 4,681 Mar 14, 2024 #4 Man Jau said: Alafu inaonesha single maza wana hasira sana ..sijui kwanini... Click to expand... wana makasiriko
Man Jau said: Alafu inaonesha single maza wana hasira sana ..sijui kwanini... Click to expand... wana makasiriko
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Mar 14, 2024 #5 Your browser is not able to display this video.