Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Jambo?

Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia

Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake na akatuonyesha meseji akimuomba msamaha na kumuomba asimpige tena.

LOVE IS A BEAUTIFUL THING
 
Kwaiyo angepigwa na mwiko...na mkewe ambae sio single mother ingekuwa sawa..

Shida ni kwamba ni single mother?.
 
Alafu inaonesha single maza wana hasira sana ..sijui kwanini...
 
 
Back
Top Bottom