granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
long time kitambo moyo wangu ulimdondokea mtoto wa mtu, nguvu ya kuandika thread ndo sinaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
long time kitambo moyo wangu ulimdondokea mtoto wa mtu, nguvu ya kuandika thread ndo sinaaaa
😄😄😄Sawarejea ile kauli yako "Tuwe tu na subra kilamtu atachanganyikiwa kw wakat wake"
nasubiri huo wakati tu haijalishi unatumia dawa au hautumii time is tik and tok...😉
Bora hukuandika..!long time kitambo moyo wangu ulimdondokea mtoto wa mtu, nguvu ya kuandika thread ndo sinaaaa
Aliniambia nilete jukwaani ili penzi letu litrendTumia ya jamaa zako au nenda posta katumie landline!
Nikajua mimi tu ndio namuonaga jauNdimu huyo
Hapana Rebeca 83 kwa asilimia 99.9 naamini hawezi fanya ujinga huu.Halafu ukute Rebeca 83 kaja kujitongoza kama Tumbili wa mjini
kwa mujibu wa wambea wa humu inaonyesha kesi yao imeanzia mbali wanatukanana matusi huko!.. sasa hii bangi mmoja anavutia kwa mbele kunapowaka moto na mwengine kwa nyuma kunapotoa moshi!.. sasa yaonyesha anaevutia kwa mbele imemkolea zaidi...🤣
Kwani huu uzi aliandika rebeca ama?
Hapana! Fungua hiyo link ukaone ndundiKwani huu uzi aliandika rebeca ama?
UngeSAMARAIZI, nataka niende mazoezini, siwezi kupitia pointi kwa point kama nasoma general studies 🤣Hapana! Fungua hiyo link ukaone ndundi
Huyo tumbili wa mjini ni mkorofi anamtusi mdada wa watuUngeSAMARAIZI, nataka niende mazoezini, siwezi kupitia pointi kwa point kama nasoma general studies 🤣
Siwezi ingilia ugomvi wao nikasema nani mkotofi ila kwa haraka haraka Rebecca nimeanza kumuona kitambo ila si mkorofi, na tumbili id yake ni ngeni kwangu hivyo siwezi sema nae mkorofi au lah, pengine wana jambo la zaidi ambalo wengine sote hatujui.Huyo tumbili wa mjini ni mkorofi anamtusi mdada wa watu
Sasa kamkuta huyo dada nae hapoi
Lakini Tumbili wa mjini mbona kamuelewa Rebeca ? Kwani shida iko wapi ? Hiyo scenario hata Mimi ilishawahi kunitokea mwaka 2014 kuna Dada nilim quote akanitukana sana hadharani nikamfuatana PM akaniomba na msamaha kumbe ni depression tu na changamoto za kimahusiano. Akawa Swahiba wangu sana aisee.Huyo tumbili wa mjini ni mkorofi anamtusi mdada wa watu
Sasa kamkuta huyo dada nae hapoi
Mtu yeyote anayeanza kutumia lugha ya matusi kwa mwenzake ni mkorofi.Siwezi ingilia ugomvi wao nikasema nani mkotofi ila kwa haraka haraka Rebecca nimeanza kumuona kitambo ila si mkorofi, na tumbili id yake ni ngeni kwangu hivyo siwezi sema nae mkorofi au lah, pengine wana jambo la zaidi ambalo wengine sote hatujui.
Usikute wametongozana, wamekuwa wapenzi ama wametapeliana, ama wamekuwa na ushikaji nje ya JF wamegombana huko ugomvi wanauleta huku jambo ambalo si zuri.
Ni sahihi, kwa hapo, bwana 2mbili mkorofi, lakini iweje akurupuke amtukane tu mwenzie, KUNA JAMBO.Mtu yeyote anayeanza kutumia lugha ya matusi kwa mwenzake ni mkorofi.