Nakupenda Rebeca 83

Nakupenda Rebeca 83

Status
Not open for further replies.
We itakuwa unajua jambo, haya tuhabarishe mkurugenzi
kwa mujibu wa wambea wa humu inaonyesha kesi yao imeanzia mbali wanatukanana matusi huko!.. sasa hii bangi mmoja anavutia kwa mbele kunapowaka moto na mwengine kwa nyuma kunapotoa moshi!.. sasa yaonyesha anaevutia kwa mbele imemkolea zaidi...🤣
 
Huyo tumbili wa mjini ni mkorofi anamtusi mdada wa watu
Sasa kamkuta huyo dada nae hapoi
Siwezi ingilia ugomvi wao nikasema nani mkotofi ila kwa haraka haraka Rebecca nimeanza kumuona kitambo ila si mkorofi, na tumbili id yake ni ngeni kwangu hivyo siwezi sema nae mkorofi au lah, pengine wana jambo la zaidi ambalo wengine sote hatujui.

Usikute wametongozana, wamekuwa wapenzi ama wametapeliana, ama wamekuwa na ushikaji nje ya JF wamegombana huko ugomvi wanauleta huku jambo ambalo si zuri.
 
Huyo tumbili wa mjini ni mkorofi anamtusi mdada wa watu
Sasa kamkuta huyo dada nae hapoi
Lakini Tumbili wa mjini mbona kamuelewa Rebeca ? Kwani shida iko wapi ? Hiyo scenario hata Mimi ilishawahi kunitokea mwaka 2014 kuna Dada nilim quote akanitukana sana hadharani nikamfuatana PM akaniomba na msamaha kumbe ni depression tu na changamoto za kimahusiano. Akawa Swahiba wangu sana aisee.
 
Siwezi ingilia ugomvi wao nikasema nani mkotofi ila kwa haraka haraka Rebecca nimeanza kumuona kitambo ila si mkorofi, na tumbili id yake ni ngeni kwangu hivyo siwezi sema nae mkorofi au lah, pengine wana jambo la zaidi ambalo wengine sote hatujui.

Usikute wametongozana, wamekuwa wapenzi ama wametapeliana, ama wamekuwa na ushikaji nje ya JF wamegombana huko ugomvi wanauleta huku jambo ambalo si zuri.
Mtu yeyote anayeanza kutumia lugha ya matusi kwa mwenzake ni mkorofi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom