Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Acha tambo wewe, ikipitishwa rambi rambi tu humu hamkawilii kukimbia uzi 😅😅😅!!! Af leo hii eti unavimbia kabisa laki 3 hela ndogo tu kmmmk walai 😅
Sijatamba, rambirambi inategemea kwa nan, jamii inayonizunguka siezi kosa kujitoa, mama angu haezi lala mbavu mbwa akati Mungu bado ananipa uhai walinilea na kunisomesha kwa kujibana lazima wafurahie uwepo wangu hata kama tulizaliwa 10 ktk familia.....kwa mwanaume anayetambua nafasi yake na kipato chake sio kile kukicha afadhali ya jana iyo laki 3 sio kitu hata kwa aliyeoa laki3 kitu kidogo sana
 
Demu akikupenda mwenyewe hatangulizi pesa byanaa
Tena km sio wa njaa anakuwa anakupa tu na ww utumie au atakununulia vijizawadi

Hii yako chai mwamba
 
Demu akikupenda mwenyewe hatangulizi pesa byanaa
Tena km sio wa njaa anakuwa anakupa tu na ww utumie au atakununulia vijizawadi

Hii yako chai mwamba
Umekariri maisha mzee!
 
Back
Top Bottom