Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 617
- 552
Uko sahihi mkuuSiyo tu umempangia.
Umempangia na kumnyanyapaa wavulana hivi vile.
Kama vile ametoa mada ambayo hakustahili kutoa.
Umeandika kama "what's the big deal". Umefanya mada yake kama si muhimu. Kama analialia.
Wakati huna haki hiyo ya kuamua mada ipi ni muhimu na ipi si muhimu. Hujui hali yake kusema analialia au vizinga vimepita uwezo wa kuvumilia.
Siyo tu umempangia cha kupost, umemnyanyapaa pia.
Mfano unakuta mtu hata hiyo laki tatu kuipata kwa mwezi ni mbinde mtu unapambana unajibana unajinyima nk
Kumbuka pia ana ndugu wenye shida za hapa na pale
Halafu mtu anakuja eti mpe hela we mpe hela kwani mahisiano ni kazi? Kama kutombn raha si wanapata wote?? Na kama mtu unaona hiyo hela ni rahisi namna hiyo si akaitafute na yeye
Mambo mengine ni kujiendekeza aisee