witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nurse hospital za serikali (Community Health) analipwa Tshs 315,000/= kabla ya makato. Daah mpaka nimemuonea huruma, kwa hali hiyo sidhani kama atapata mwanaume, bora angekushawishi kwa kuonesha malengo yake ni kwa namna gani ataweza kuondokana na utegemezi.
Hawa viumbe wana shida sana, kuna mmoja alilia sana kwangu anahitaji mtaji kama 200,000/= nikampa kwa ajili ya kuanzisha kibanda cha chips, lakini alifungua wiki mbili tu akaanza tena kulalamika. Nimekimbia wala sitaki hata kuonana nae, maana nageuzwa tena zezeta
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Zezetaa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]