Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Mapenzi hayana kanuni Rafiki...

Wapo Wanaume wanafanyiwa yote hayo na zaidi na Bado wanawaumiza wanawake wao..

Kuna Wanawake kwa asili wameumbiwa Upendo. Mwanaume mwingine aliona anapendwa na kujaliwa anaona ndiyo fimbo ya kumchapia Mwanamke..Na kuna wanaume wengine wanapata wanawake Hawana muda nao ila namna wanawajali unaweza kushangaa....

Haya Mapenzi tuyaache tu yakae kama yalivyo.. Ukiingia yakikupenda unashukuru.. Yakikutaa unakung'uta vumbi unaangalia wapi ulikosea unasonga mbele..
 
Huwa una akili sana ujue.
Hapa hatuko sawa 100%
Bali tunagusa vitu kwa uwingi.
Ni mara chache umjali mtu asikupende.
Nasaema ni mara chache.
 
Mmmmmh!!!! Kwamba ni mara chache umjali mtu asikupende?? Hujawahi kupigwa matukio Rafiki yangu?
Rafiki yangu.
Mtu akiitwa mpenzi maana yake kuna sumaku kati yenu.
Asilimia 95 mpenzi akikujali wewe na sio vitu hakika utampenda tu.
Vinginevyo ksma huyo mtu ni mpenzi wa vitu vyako na sio wewe
 
Kamsereeeeereeeeko
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story[emoji849]
Unampangiaje mtu kitu cha ku post JF?

Hao wadangaji inabidi wajipange vizuri zaidi, mwamba kashaepukana na gharama za kijinga.

Kwangu mimi iko hivi.

Mwanamke anayejitambua hapewi hela.

Anapewa bank card ajichotee mwenyewe. Tena si mara moja, anaachiwa akae nayo.

Lakini mpaka kufikia level hiyo anahitajika kuonesha hana ulimbukeni wa kudai laki tatu kwa mwezi.

Mimi naweza kuwa interested na mtu anayenipa business plan ya mamilioni nimsaidie aweze kuji sustain au ku sustain family kuliko mtu anayeomba mshahara wa laki tatu kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…