Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story[emoji849]
Mi mke wangu kabisa ana kiwango chake kwa mwezi na ni zaidi ya mara tatu ya huyo dem wake,,
Mpenzi wako akitaka zaidi anakupa changamoto ya kutafuta zaidi, eventually unapata uwe zo wa kutafuta vingi zaidi.

Challenges ni mtaji.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.
Bi mkubwa unamtumia sh ngapi kwa mwezi?

Amini nakuambia mkuu acha kudate na wadada kutoka kwenye familia za kimasikini. Kwanza wanaamini mtu wake lazima awe na hela, sio hela tu. Ni lazima alipie mahusiano.

Hizo hela tuma kwa ni mkubwa ale nyama, alipe bili za umeme. Hata kama bi mkubwa anajiweza, mpe hata ndugu yako. Utanushukuru huko mbele.

Nasisitiza tena, usijisumbue kulipia utelezi. Hiyo hela anayoitaka ni mahari tosha kabisa
 
Mi mke wangu kabisa ana kiwango chake kwa mwezi na ni zaidi ya mara tatu ya huyo dem wake,,
Mpenzi wako akitaka zaidi anakupa changamoto ya kutafuta zaidi, eventually unapata uwe zo wa kutafuta vingi zaidi.

Challenges ni mtaji.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Ikitokea umetafuta ukakosa huwa anafanyaje?
 
Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.

Sasa huyu dem kila nikirudi hua namkuta kibarazani kwao (sijui kakariri muda wangu wa kurudi home) yeye ndo huwa wakanza kunisalimu, yeye anaishi nyumba jirani.

Siku moja nikiwa kwa daladala narudi home nikakutana nae kwenye gari tukakaa siti moja, story zikaanzia hapo hadi kubadilishana no za simu.

Baada ya wiki mambo yakawa moto, mitoko ya hapa na pale n.k, hana kazi yoyote yupo yupo tu mtaani na sikutaka kumdadisi sana kujua maisha yake.

Sasa leo tukiwa tunachati kanambia kuwa ananipenda sana muda mrefu alitamani kuwa na mimi.

Nikamuuliza sababu ya kuachana na ex wake (mana alikuwa anamponda sana) akasema wameachana sababu jamaa alikuwa hamjali kwa mahitaji yake yoyote yani kifupi hamthamini.

Nikamuuliza unadhani mimi naweza kukujali na kukupa mahitaji yako yote. Akasema hapana huwezi kuwa na yote ila kwa kiasi fulani nitashukuru.

Nikamuuliza ni kipi hasa unakihitaji akasema anataka apate angalau laki 3 kwa mwezi.

Nikamuuliza kazini kwako unalipwa sh ngapi kwa mwezi hadi udai laki tatu kwa mwanaume ?

Bado hajanijibu hadi sasa.

Dada zetu naona sasa mapenzi wameyageuza kuwa ajira wanadai mpaka mishahara sasa!!
Kama una nia ya kuwa nae kimoja na wampenda shida nini?

Laki tatu kwa kuanzia si nyingi inamtosha sana.

Ila hiyo ni kwa fedha zetu za madafu ni shilingi milioni 3.6 kwa mwaka.

Kwani hutaki yeye apendeze? anawiri?

Wanawake wataka matunzo kuna mambo yao ya msingi wayahitaji na si lazima akiyataka hayo akwambie.

Mkuu, ingiza mkono mfukoni, ndo ukubwa huo.
 
Unampangiaje mtu kitu cha ku post JF?

Hao wadangaji inabidi wajipange vizuri zaidi, mwamba kashaepukana na gharama za kijinga.

Kwangu mimi iko hivi.

Mwanamke anayejitambua hapewi hela.

Anapewa bank card ajichotee mwenyewe. Tena si mara moja, anaachiwa akae nayo.

Lakini mpaka kufikia level hiyo anahitajika kuonesha hana ulimbukeni wa kudai laki tatu kwa mwezi.

Mimi naweza kuwa interested na mtu anayenipa business plan ya mamilioni nimsaidie aweze kuji sustain au ku sustain family kuliko mtu anayeomba mshahara wa laki tatu kwa mwezi.
Wala sijampangia cha kupost

Mie huwa siamini katika kuomba omba pesa,siamini pia kama moja jukumu la mwanaume ni kumpa pesa mwanamke....mwanaume kutoa pesa iwe ni maamuzi yake
 
Wala sijampangia cha kupost

Mie huwa siamini katika kuomba omba pesa,siamini pia kama moja jukumu la mwanaume ni kumpa pesa mwanamke....mwanaume kutoa pesa iwe ni maamuzi yake
Kama anampenda huyo binti basi ni lazima afanye "commitment".

Maisha hubadilika na ikija ikitokea amempa mimba itakuwaje?

Cha msingi ni kukubaliana kuwa wao sasa ni bwana na bibi na wanaanza mahusiano rasmi.

Labda kama ni shamba tayari limelimwa aweza kuhakikisha aweka wigo na ulinzi wa kutosha.

Hizi tabia za kupita na kung'oa visiki na kukimbia imepitwa na wakati.
 
Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.

Sasa huyu dem kila nikirudi hua namkuta kibarazani kwao (sijui kakariri muda wangu wa kurudi home) yeye ndo huwa wakanza kunisalimu, yeye anaishi nyumba jirani.
Sometimes hawa mabinti wanatugeuza sisi kuwa kama wazazi wao
 
Wala sijampangia cha kupost

Mie huwa siamini katika kuomba omba pesa,siamini pia kama moja jukumu la mwanaume ni kumpa pesa mwanamke....mwanaume kutoa pesa iwe ni maamuzi yake
Siyo tu umempangia.

Umempangia na kumnyanyapaa wavulana hivi vile.

Kama vile ametoa mada ambayo hakustahili kutoa.

Umeandika kama "what's the big deal". Umefanya mada yake kama si muhimu. Kama analialia.

Wakati huna haki hiyo ya kuamua mada ipi ni muhimu na ipi si muhimu. Hujui hali yake kusema analialia au vizinga vimepita uwezo wa kuvumilia.

Siyo tu umempangia cha kupost, umemnyanyapaa pia.
 
Basi sawa
Na wewe usinipangie cha kuchangia....huna haki ya kuniambia comment ipi natakiwa kutoa na ipi sitakiwi kutoa
Sijakupangia cha kuchangia.

Nimekuambia kwamba hoja yako haina logical consistency.

Unamuambia mwanamme habari za kuombwa pesa na mwanamke wakati wewe hujui mwanamme huyo anaombwaje pesa, mara ngapi, kwa hila zipi etc.

A lazily dismissive inconsiderate illogic.
 
Demu kakupa namba bado unachat nae sikuzote hizo, ilitakiwa the day amekupa namba uwe umpiga dyudyu, ameona unazingua ndio maana anakuletea issue za pesa.
 
Back
Top Bottom