ziloi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 758
- 1,063
Siku hizi wadada ukiwa na moyo wa kiboya unaweza jikuta unaliwa kiboya pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nipo najikagua jinsia apa wenda na mm nikawa mdada.Kashasema Tanzania hakuna wanaume
Labda kama Dodoma iko nje ya nchi anaweza kukuelewa
Ndo nipo najikagua jinsia apa wenda na mm nikawa mdada.
Niulizie wanaume wako nchi gani niende nisije nikawa nmebaki wamehama tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi uoe kijana sisi zege huwa tunaishia kutoa hasira na mitungi na drug zingine.Nilipitia izi mambo ingawa zinanitesa mpaka leo lakini najua mama chanja hom yupo na perfom kama kawa hisia zinaisha,Kwanza pole sana kwa kifungo dada yangu
Cc Zero IQ
[emoji16][emoji16][emoji16] Hatar sana itabidi nijifunze kuvaa madera [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio walishahama ila sijui walielekea nchi gani
😂😂😂😂🙌🙌[emoji16][emoji16][emoji16] Hatar sana itabidi nijifunze kuvaa madera [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamkomesha mimiEehee hivyo hivyo maana ni mwanao na mtoto akililia wembe........
Sent using Jamii Forums mobile app