Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Soma hapo kwanzaAbeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hapo kwanzaAbeeh
Net nimeshashusha yatari... Namalizia kufunga madirishaMbona hujaweka neti na wewe, nani kakufundisha umbeya hadi unasahau wajibu wako kwangu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku mwemaNdukiiii...sitaki maafa kwangu eti umejinyonga sababu yangu... [emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahHahaha hahaha hahaha
Sio kwa uchochezi huo
Khaaah!...? Mlinipangia nini[emoji848]Malizeni na mie nianze
Hahaha hahahaKhaaah!...? Mlinipangia nini[emoji848]
Ngoja nishushie zangu juisi baridi kdg kwa Masawe hapa nisije kufa kwa 7bu yenu bure[emoji851]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko busy na nyuzi zake hukooHahahahah
Sijui atakuja katika huu uzi...kama namuona atakavyopovuka
Hahaha hahaha
Unaweza kweeeli kuniumiza hadharanii
Sawa babaaNimezimia kdg hapa, nikiamka nitamalizia mzozo wenu maana uhai kwanza, mengine baadaye[emoji28][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza juice upitilize kwa SakayoKhaaah!...? Mlinipangia nini[emoji848]
Ngoja nishushie zangu juisi baridi kdg kwa Masawe hapa nisije kufa kwa 7bu yenu bure[emoji851]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kuhuru kiraru raruNaomba nifafanulie vizuri hapa,sijaelewa vizuri
Nimekuelewa sasa vizuri,hizi beer siyo nzuri!So kuhuru kiraru raru
Hahahah si uliniambia nimpe maana yakeNimekuelewa sasa vizuri,hizi beer siyo nzuri!