Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwaga ugali mimi namalizi mboga,nenda kwa Sakayo na mimi naenda kwa yule rafiki ako pale jirani na kwetuMajirani wapo wakikusikia umeninunia itakuwa shangwe kwao maana siku nyingi sana wananimezea mate lkn Sakayo ananijua vzr sn jnc gn mm ni Mume bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Usirudi leo nyumbn,baki huko huko kwa Sakayo na ukirudi utakuta nguo zako nje
😂😂😂 soon tunamaliza mamaNaomba mkimalizana uniambie
Abeeh@Shunie ukuje huku uniambie maana ya hiyo kitu!
Mzima kapwil
Mbona hujaweka neti na wewe, nani kakufundisha umbeya hadi unasahau wajibu wako kwangu[emoji848]Naomba mkimalizana uniambie
Malizeni na mie nianze[emoji23][emoji23][emoji23] soon tunamaliza mama
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Hahaha hahaha hahahaKashasema Tanzania hakuna wanaume
Labda kama Dodoma iko nje ya nchi anaweza kukuelewa
Malizeni kwanza babaa
Ni nani yako etiNdiyomaana huwa ninakupenda sana Sakayo laazizi[emoji182]maana huwa hauna makuu sana kama Lily
Sent using Jamii Forums mobile app
hii kesi naipeleka kwa mama mkweAcha zako bac bn, kwanini hutaki ninenepe kwa penzi la Sakayo kama wewe ulivyokuwa kipindi unaniringia[emoji848][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwaga ugali mimi namalizi mboga,nenda kwa Sakayo na mimi naenda kwa yule rafiki ako pale jirani na kwetu