Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usirudi leo nyumbn,baki huko huko kwa Sakayo na ukirudi utakuta nguo zako njeAiseee...tafadhali usitake nikose vyote kwa wakati m1 maana nilikupenda kuliko hata maelezo lkn ulichezea shilingi chooni, ss ngoja Sakayo anifanye niwe free stressed[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
Wanaume sio watu wazuri
Mdogo wangu haya maneno amekufundisha nani?Hatamaye katoto kazuri kapata wa kumsitiri.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namtaka radhi babangu kipenziEbu tutake radhi kwanza Wanaume kwa niaba ya Baba yetu Mzazi aliyekusababisha ujinafasi hapa[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu chit chat mzee baba....watu wanafanya mambo tu mda usongee usiwe serious sanaMkuu nimejiuliza maswali mengi japo umeelezea vizuri hisia zako kwake
1.pm haupajui?
2.umeshindwa kumwambia ( domo zege)
3.umefanyaje kuzijua hizo tabia zake
4.umempenda au umemtamani
5. Unauhakika kuwa hajaolewa
6. Je? Ukikuta in mmojawapo ya ndugu zako mnaoheshimiana eg.mama yako, dada, shangazi,nk utafanyaje
Nk...
Any way katoto kazuri ukuje huku unatafutwa na mkaanga chips
Aibu naona mimiHapana huyo nilikuwa najifunzia hatua zipi ningezitumia kwako kukupata lkn alichonijibu nikajikuta ghafla nikanywea kama jongoo aliyeguswa[emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Yani ananizunguka hapa hapa .Na asirudi nymbn leo[emoji34]
Hahaha hahaha
Naomba mkimalizana uniambieMajirani wapo wakikusikia umeninunia itakuwa shangwe kwao maana siku nyingi sana wananimezea mate lkn Sakayo ananijua vzr sn jnc gn mm ni Mume bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Namtaka radhi babangu kipenzi
Mzima bosi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Castr bana