Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
katoto kazuri nimekuja Pm yako na kumwaga yale yangu ya moyoni lakini bado mtoto unashindwa kunielewa,
Zero IQ mimi muuza Kiepe nimekupenda kwa kweli, na sijui ata kwa nini ila imetokea tu uwenda mungu amemtuma mjumbe wake kwangu kwa siri nikupende wewe kama ndio njia ya kuuaga huu ukapela,
katoto kazuri nafikiri utakuwa mzuri kama jina lako, pokea pendo langu na kwa uzuri wa sifa zako, natamani nikumiliki uwe wangu wa milele,
Sijapenda sura wala chura yako matata uliyojaaliwa na muumba ila nimependa tabia yako iliyo makini, nafikiri unatafakari na kuchukulia kwa uzito kila neno linalotamkwa kwako Nakuomba chukulia na uzito ujumbe huu,
Zero niko hoi kwako sijiwezi nakupenda katoto kazuri
Cc Zero IQ