Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako?
Japo umenikuta na watoto wawili ila umeweza kuwalea hao watoto kama wako nashukuru sana kwa kuninulia gari mpya na yenye thamani Ahsante Sana mume wangu I love you Tajiri wa kusini
Japo umenikuta na watoto wawili ila umeweza kuwalea hao watoto kama wako nashukuru sana kwa kuninulia gari mpya na yenye thamani Ahsante Sana mume wangu I love you Tajiri wa kusini