test man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 1,014
- 955
yaani ukijua mtu kapenda ni kapenda kweli kweli, nakupenda Sana namaanisha nivyokuambia nateseka sana juu yako, jamani acheni moyo upende mengine baadaye kama kweli mm sipo moyoni mwako acha tu nikupende naamini utaipitia hapa soma tu ujumbe wangu ni ww Y.R.K