Nakupenda Sana wewe naamini utaipitia hapa

Nakupenda Sana wewe naamini utaipitia hapa

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
955
yaani ukijua mtu kapenda ni kapenda kweli kweli, nakupenda Sana namaanisha nivyokuambia nateseka sana juu yako, jamani acheni moyo upende mengine baadaye kama kweli mm sipo moyoni mwako acha tu nikupende naamini utaipitia hapa soma tu ujumbe wangu ni ww Y.R.K
 
Huko PM mlielewana kwanza? Maana unaweza ukaukimbia Uzi wako
 
Au ndo kama hivi mkuu
IMG-20180329-WA0008.jpg
 
Sometime wanawake wanapenda smartness ya mwanaume sio kila wakati vificho vificho

Cc Hajar
Kweli kabisa rafiki sababu kujibana bana mwisho wa siku mali kama haina mtu inakwenda kwa mwingine.
 
Sometime wanawake wanapenda smartness ya mwanaume sio kila wakati vificho vificho

Cc Hajar
Nikweli mkuu mwanaume ni ujasiri na kua muwazi sio mafumbo mafumbo hayo mambo tewaachie ke
Hahahaaaaa. Duuh.

Nasubirua tu Povu hapa. [emoji12] [emoji12]
Mapovu yatoke wapi rafiki?
Kweli kabisa rafiki sababu kujibana bana mwisho wa siku mali kama haina mtu inakwenda kwa mwingine.
Heh heh heh!!
 
Back
Top Bottom