Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkSasa hivi Akili yake iko sawa mkuu
Hayo macho vipi?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
SoulmateNipo kwenye kikao nyeti, baina ya AKILI YANGU vs MOYO WANGU. Ntatoa tamko/msimamo muda ukiwadia.[emoji18]
Ila kwaajili ya kupisha upelelezi/kikao, mzuie asiniite "SOULMATE", halafu na ile tatoo ya jina langu kiunoni aifute alio andika "ALEX THE GREAT'S PROPERTY" (gharama juu yangu hata akitaka kwenda kuifuta ulaya).[emoji57]
Bebe usinifanyie ivyoAah bebe.. wacha tu nimuumize maana hakuna namna
Soulmate ntarogwa bure au nichukuliwe na watu wasio julikana Zero IQ[emoji6]Soulmate
Mekumiss
Mapaka ya JF!Papuchi za huko mtaani bado hazijaisha tayari unataka na za JF!!
Huyo mshikaji ndiye mimi hapa mkuu![emoji30][emoji30][emoji30]Hahahaha ,eti Mapaka ya JF ,duh
Hili neno 'Mapaka' kuna mshikaji Wangu mmoja anapenda sana kulitumia
Hahahaha, inawezekana Mkuu, maana JF hii kubwaHuyo mshikaji ndiye mimi hapa mkuu![emoji30][emoji30][emoji30]
Ngoja mie nikupige mistari ya kisasa.mistari ya kizamani
Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri,
yna2 unajua mapenzi yalivyo mwili unaleta tamaa na tamaa inaleta upendo ndani ya moyo ,
Vile ulivyoumbika kuanzia mguu wa Dompo,hipsi za beraile,zigo la kuvunja chaga,kiuno makinikia mwenzako niko hoi niruhusu nijenge kibanda,
yna2 nina mengi sana ya kuongea lakini Sitaweza kuyamaliza nikisema niyatamke ,haya machache yanatosha japo utaona hayana maana kwako.
I love u yna2
View attachment 948837
Hata mimi nashindwa kushangaa mkuu, sijui ndio wivu????Hayo macho vipi?
Hahaha kwanini tena kaka?Aiseee mkuu Uzi umenikimbiza
Aisee 😁😁😁😁nye.ge mbaya sana