Nakupenda sana yna2

Nakupenda sana yna2

Nipo kwenye kikao nyeti, baina ya AKILI YANGU vs MOYO WANGU. Ntatoa tamko/msimamo muda ukiwadia.[emoji18]

Ila kwaajili ya kupisha upelelezi/kikao, mzuie asiniite "SOULMATE", halafu na ile tatoo ya jina langu kiunoni aifute alio andika "ALEX THE GREAT'S PROPERTY" (gharama juu yangu hata akitaka kwenda kuifuta ulaya).[emoji57]
Soulmate

Mekumiss
 
Naona Zero Iq umeamua kujitoa ufahamu kiasi cha kujikamatisha kwa usalama wa taifa!
Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri,

yna2 unajua mapenzi yalivyo mwili unaleta tamaa na tamaa inaleta upendo ndani ya moyo ,

Vile ulivyoumbika kuanzia mguu wa Dompo,hipsi za beraile,zigo la kuvunja chaga,kiuno makinikia mwenzako niko hoi niruhusu nijenge kibanda,

yna2 nina mengi sana ya kuongea lakini Sitaweza kuyamaliza nikisema niyatamke ,haya machache yanatosha japo utaona hayana maana kwako.

I love u yna2

View attachment 948837
 
Back
Top Bottom