Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2

Man they really hate u duh,change old man change.u too old man
 

dah mkuu! it just an example hamna mambo ya mzungu wala muafrika hapo wala kwenda mbeya ...
what it mean ni ukiona mtu analazimisha kusema yeye ni (kitu) mtu fulani uje sio..

How couldnt u understand that simple .. i hear u hold 3 degree..
 
Kama nitafikisha miaka 50 halafu nikawa na nyumba ya kawaida ya kuishi

Siwezi kujisifu!
 
- Wewe mburulazzzz hebu jiulize unanijadili hapa kwenye jukwaa la nini ndio ujipnage tena ok hahahahahahaha U know

Le Mutuz

Le Mutuz pole sana kwa kuuguliwa na mama yako mzazi, Mungu atamsaidia atapona.

Btw sikuwa najua kama mama yako mzazi yupo Mbeya kijijini na anaishi kwenye nyumba ya udongo. Nakushauri hizi hela unazoandaa parties na wanawake ungenunulia ata tofali uweke vizuri kwa maza utapata baraka nyingi sana.
 

- Mama yangu hajawahi kuishi nyumba ya udongo na haishi Kijijini anaishi mjini ana nyumba ya anayopangisha wapangaji na yake humo humo, pole sana naona umelishwa maneno usiyoyajua kama kawaida na wewe umerukia treni kwa mbele hahahahahaha

Le Mutuz
 
Kama nitafikisha miaka 50 halafu nikawa na nyumba ya kawaida ya kuishi

Siwezi kujisifu!

- Well, wewe sio mimi na mimi sio wewe ni Big Celebrity kila kitu changu ni news na it means malipo, hiyo parrty ya nyumbe means money kwangu kwa sababu kuna Sponsors kibao wanataka kuwa part of the party, pole sana ndio tofauti yangu na yako wewe layman ok, hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
dah mkuu! it just an example hamna mambo ya mzungu wala muafrika hapo wala kwenda mbeya ...
what it mean ni ukiona mtu analazimisha kusema yeye ni (kitu) mtu fulani uje sio..

How couldnt u understand that simple .. i hear u hold 3 degree..

- Huwezi kujadiliwa page 30 kwenye hili jukwaa kama sio Celebrity wewe usiwe mjinga unajichora bure mimi ni Big Celebrity, huhitaji kuwa na Degree 3 kujua hili ni jukwaa la nini mkuu aibu unajivua nguo mimi sio sawa na wewe cause mimi ni news wewe sio simple as that

Le Mutuz
 
- hahahahahahahahaha nikifikia huko utajua tu wala usiwe na wasi wasi cause Mwenyekiti wa Chadema hajafikia huko so is me hahahahahahaha

Le Mutuz

Tatizo lako ndio hilo.Miaka inakimbia lakini unajiona bado bwana mdogo kabisa.
 
Tatizo lako ndio hilo.Miaka inakimbia lakini unajiona bado bwana mdogo kabisa.

- Tatizo lako huna maisha sasa unarukia wenye maisha kama mimi si unajua mimi hapa I get paid wewe unaumiza misuli yako bure au hujui hilo? hahahahahahahahah

- Hakuna MWanaume mtumzima mwenye maisha yake anayeweza kupoteza muda na majina ya bandia kurukia rukia watu asiowajua na matusi mitandaoni ni lazima uwe huna life period!!

Le Mutuz
 
- Tatizo lako huna maisha sasa unarukia wenye maisha kama mimi si unajua mimi hapa I get paid wewe unaumiza misuli yako bure au hujui hilo? hahahahahahahahah

Le Mutuz

Naona leo upo free,haujatumwa bandarini mkuu.
 

Sawa Babu!
 
Mtoto wa PM kama mtoto wa mhunzi!!!!??? Kweli kusoma sio kuelimika aisee!!!!
 
Hivi ulisema US ulikuwa unafanya kaz gan vile?

- Kabla ya kuhamia US nilikuwa nasoma Belgium ambako nilikuwa ninaishi mji wa Antwerpen niliposema Degree yangu ya kwanza ya Marine Engineering ambapo nilifanya kazi Melini kama Assistant Marine Engineer, then nikahamia New York City, nikasoma Degree ya Criminology na Political Science nikiwa ninaendesha Malori makubwa yenye Mataili 18 kazi ambayo ilikuwa ikinilipa mshahara mkubwa mpaka kuweza kujilipia College na kumaliza Degree 3,

- Kwani wewe sasa hivi unafanya kazi gani mkuu sana? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…